Hivi familia ya Ally Zoro iko wapi?

Hivi familia ya Ally Zoro iko wapi?

Nitajulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
328
Reaction score
355
Wakuu nawasalimia,

Ni ukweli usiopingika kwamba familia ya mwanamziki mahiri Ally Zoro ikiwa ni baba na watoto ilijizolea umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi.

Hata hivyo,familia hiyo ikiongozwa na baba (Ally Zoro) pamoja na watoto wake Banana Zoro na Maunda Zoro, imepoteza umaarufu wake kwa kasi sana na kupotea kabsa katika anga za kimziki

Je, familia hii iko wapi?
 
Dah huku kitaa alikuwepo mjeda mmoja ana bonge la mwili mtaalamu wa ngumi alikuwa anafundisha ngumi

alikuwa anaitwa Ally Zolo mjinga yeyote anayejifanya anaonea ilikuwa tunamuendea Zolo mtetezi wetu

Umenikumbusha kitambo
 
Katika maisha kuna kupanda na kushuka!! Inawezekana wanajipanga upya!!
 
Dah huku kitaa alikuwepo mjeda mmoja ana bonge la mwili mtaalamu wa ngumi alikuwa anafundisha ngumi

alikuwa anaitwa Ally Zolo mjinga yeyote anayejifanya anaonea ilikuwa tunamuendea Zolo mtetezi wetu

Umenikumbusha kitambo
Mkuu umenikumbusha stori moja ambayo tulikua tunasimuliwa na kaka zetu enzi hizo tunakua. Aliwahi kutokea dogo mmoja mtundu sana.

Dogo Amos alikua anapenda kupiga watoto njiani, wakati anaenda shule, sokoni na hata kanisani.

Kuna siku wakati anaenda kanisani, akakutana na dogo mmoja, akamuita;
AMOS; Wewe dogo njoo hapa nakuita mimi baba yako.
Kumbe yule dogo alikua kipofu hivyo alisikia sauti ikisema ni baba yake lakini sio ile aliyoizoea. Akaogopa sana, akaanza kulia kwa nguvu(sauti)

Dogo amosi kuona vile akamkimbilia yule dogo kipofu ,akampiga kwenzi moja la nguvu halafu akakimbia kuendelea na safari yake.

Kumbe kuna madogo walimuona hivyo wakaanza kumkimbiza,lakini kwa bahati nzuri akawazidi mbio akatokomea.

Alipokuwa katika misa akawa hasikilizi mahubiri bali yuko bize anaangaza madogo wa kuwaonea akishatoka kwenye misa, aliporudisha mawazo yake kwa muhubiri akasikia maneno haya; "ukiua kwa upanga,utauliwa kwa upanga, ukimuonea mwenzako na wewe utaonewa" Dogo amosi akadharau akaendelea na mpango wake wa kutafuta madogo wa kuwaonea mpaka misa ikaisha.
 
Dah dogo Amos Mbabe sana!
 
Dah dogo Amos Mbabe sana!
Wakati yupo njiani anarudi kwao akakumbuka ya kuwa ana msala wa yule dogo kipofu, hivyo wasiwasi ukamjaa, asijue la kufanya, wakati akiwa katikati ya lindi la mawazo ile kauli ya mchungaji ikamjia akilini "UKIMWONEA MWENZAKO NA WEWE UTAONEWA MARA MBILI"

Akaogopa sana, ila mbele kidogo akamuona baunsa mmoja aliekuwa anafahamiana nae, akamkimbilia wakawa wameongozana wanaenda pasi na baunsa kujua njama aliyokuwa nayo dogo Amos,

Walivyofika eneo la tukio dogo amos akawaona wale madogo waliomkimbiza wamesimama wanamsubiri, lakini wana hofu baada ya kumuona mlengwa wao kaongozana na baunsa.

Dogo amos alivyoona wale madogo ni kama wameogopa akatangulia mbele ya baunsa akawa anajipiga piga kifuani akisema mimi ni mwamba, hakuna dogo yoyote anaeweza kunitisha kati yenu.

Wale madogo wakanung'unika sana, ila wakapata wazo la kwenda kumshtakia kwa baunsa, walivyofika kwa baunsa wakamwambia
MADOGO; Samahani blaza baunsa, huyu dogo wakati anaenda huku alipita hapa akampiga dogo mmoja kipofu..
 
Booonge la kwenzi!!!!!
BAUNSA; Kama kampiga dogo kipofu basi kakosea sana(akatikisa kichwa Akihuzunika) kisha akawaambia.
"enyi madogo wa mtaa huu! apewe adhabu gaani huyu mtu....?(in jesus voice)
MADOGO; Turuhusu tumpige.

Baada ya ile kauli ya madogo, baunsa akamtazama dogo amosi kisha akamwambia
BAUNSA; Haya PIGWA TWENDE"

Wale madogo wakampiga dogo amosi makwenzi mawili mawili, kisha waka mwagia michanga kwenye nguo zake za kanisani halafu wakaondoka.

Kisha safari baina ya baunsa na dogo amosi ikaendelea huku dogo amosi akilia njia nzima.

Kufika kwao mama yake alipomuona akakasirika sana akamchapa fimbo tatu kwa utovu wa nidhamu.

Nimekumbuka enzi za utoto!

Hahahhaahhaaha! utoto raha sana.
 
Wakuu nawasalimia,

Ni ukweli usiopingika kwamba familia ya mwanamziki mahiri Ally Zoro ikiwa ni baba na watoto ilijizolea umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi.

Hata hivyo,familia hiyo ikiongozwa na baba (Ally Zoro) pamoja na watoto wake Banana Zoro na Maunda Zoro, imepoteza umaarufu wake kwa kasi sana na kupotea kabsa katika anga za kimziki

Je, familia hii iko wapi?
Ally Zoro au Zahir Ally Zoro ?
 
Back
Top Bottom