Hivi fikra zangu zikinituma kuwa alikuwa ni kahaba zitakuwa kimakosa?

<br />
<br />
weee! asisogee kwa demu wangu.
 
Pole, hana jpya huyo dawa usipokee cm zake, aktumia no. Nyingine ukigundua ni yeye unakata cm, atachoka tu.
 
..........yah,hii njia ni sahihi sana na huwa naitumia katiika kesi mbali mbali!hana haja ya kubadili namba
 
huyo hajakua, nia yake ni kukufanya wewe uwe na wivu juu yake.
sasa kwakua ulishafanya maamuzi ya kumwacha we akipiga sim pokea, mweleze anatachotaka kama unauelewa.tyhen malizana nae dry dry,
usimtake story mingi nae.
au
mweke kwene list ya watu usotaka wakupigie (ignore list), hii ni ili hata sim yake usiione kabisa anapopiga.
kubalitu kua ulikua unampenda ila ulimkosa, sio kila tunalodhani ni jema kwetu kweli ni jema kaka.amini hili.
hakua wako ndo sababu huklumpata, wako utampata hata kama itakuchukua miaka kumi.
 
<br />
<br />
 
haina haja yakubadidlisha nambaya simu ila ni kutokupokea simu yake wa message usijibu
 
Huyo dawa yake ni kumpotezea tu, haya mambo bwana kuna watu wanapenda kucheza na feelings za watu.
 
Simple and clear itakayomcost yeye fanya hv kila akipiga pokea hala iweke pembeni,tena kama uko na radio au tv iweke karibu na spika.ukiwa unafanya hv kla akipiga walaaih harudii tena manake hatakuwa na credit ya kuchezea kias hcho.
 
huyo mjinga sana. mpige mkwara, block namba yake. akipiga isipatikane. kama wewe ndo unajibembeleza kwa mwanaume, kwani una tatizo gani mzee wakati wanawake ni wengi kuliko wanaume katika duinia hii ya leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…