Hivi fikra zangu zikinituma kuwa alikuwa ni kahaba zitakuwa kimakosa?

Hivi fikra zangu zikinituma kuwa alikuwa ni kahaba zitakuwa kimakosa?

Kuna mbinu nilitumia sijui kama itakufaa,akikuuliza beach flani iko wapi mwambie una bahati hata mimi nilikuwa naenda karibu na huko leo ukitaka nikupitie na kwakuwa nia yake ni kukurusha roho atakubali.Sasa wewe mpitie demu mkali hata kama ni demu wa rafiki yako halafu mumpitie nakuhakikishia hatawafata wala kukusumbua tena mimi ex wangu aliishiwa nguvu kabisa.
<br />
<br />
weee! asisogee kwa demu wangu.
 
Pole, hana jpya huyo dawa usipokee cm zake, aktumia no. Nyingine ukigundua ni yeye unakata cm, atachoka tu.
 
..........yah,hii njia ni sahihi sana na huwa naitumia katiika kesi mbali mbali!hana haja ya kubadili namba
 
huyo hajakua, nia yake ni kukufanya wewe uwe na wivu juu yake.
sasa kwakua ulishafanya maamuzi ya kumwacha we akipiga sim pokea, mweleze anatachotaka kama unauelewa.tyhen malizana nae dry dry,
usimtake story mingi nae.
au
mweke kwene list ya watu usotaka wakupigie (ignore list), hii ni ili hata sim yake usiione kabisa anapopiga.
kubalitu kua ulikua unampenda ila ulimkosa, sio kila tunalodhani ni jema kwetu kweli ni jema kaka.amini hili.
hakua wako ndo sababu huklumpata, wako utampata hata kama itakuchukua miaka kumi.
 
Ni miezi kadhaa imepita toka niachane na huyo msichana, nilimpenda sana lakini yeye hakuonyesha ushirikiano juu ya pendo langu kwake, kwani alifanya chocho alichojisikia akijua kuwa sita kuja kumwacha. Hakupenda kuongea na mimi kwenye cm wakati wa usiku na mchana pia wakati mwingine, ila mpaka ajisikie yeye kuongea na mimi. Baada ya hayo yote na mengine mengi kunitendea yasiyo mazuri nilichukua hatua ya kuachana nae. Na nikawa siwasiliani nae tena, ila baada ya miezi kadhaa kupita tangu tuachane amekuwa akinipigia cm na kuniuliza maswali ya kejeli kuwa beach fulani iko wapi mean nina apointment na mtu sehem hiyo . Je jamaa, ndugu na marafiki nifanyeje ili nisiwasiliane nae tena! Kwani anazidi kunitonesha kidonda alicho nisababisha yeye mwenyewe? Bt hekima na mawazo ya busara yanahitajika katika kutoa ushauri.
<br />
<br />
 
haina haja yakubadidlisha nambaya simu ila ni kutokupokea simu yake wa message usijibu
 
Huyo dawa yake ni kumpotezea tu, haya mambo bwana kuna watu wanapenda kucheza na feelings za watu.
 
Simple and clear itakayomcost yeye fanya hv kila akipiga pokea hala iweke pembeni,tena kama uko na radio au tv iweke karibu na spika.ukiwa unafanya hv kla akipiga walaaih harudii tena manake hatakuwa na credit ya kuchezea kias hcho.
 
huyo mjinga sana. mpige mkwara, block namba yake. akipiga isipatikane. kama wewe ndo unajibembeleza kwa mwanaume, kwani una tatizo gani mzee wakati wanawake ni wengi kuliko wanaume katika duinia hii ya leo?
 
Back
Top Bottom