Nina mrembo wangu amepiga oral anasikilizia majibu ya hao jamaa.
Alifanya nafasi ya license officer week mbili zilizopita.
Nauliza kama wameishaita kazini au bado?
Sijasikia lolote mkuu,wale jamaa mambo yao yana usiri mwingi.we fikiria hata matokeo ya ile written interview hawayakuyapublish,walipigia simu tu watu kimya kimya wale waliofaulu.