Hivi gazeti la mwananchi online lilipatwa na shida gani?

Elythrobacter

Member
Joined
Sep 29, 2020
Posts
47
Reaction score
94
Mimi nilikuwa mfatiliaji mkubwa wa gazeti la mwananchi online, siku hizi silioni maana nilikuwa nalipenda sana.

Kilichokuwa kinanifurahisha kwenye hiyo web yao hasa ni mpangilio wa habari, kuweka habari kwa wepesi na uhakika zaidi.

Makala nzurinzuri na kupatikana katika application ya freebasics maana kwa hali hii ya maisha lilinifaa kupata taarifa maana Mb ni kisanga.
 
Wamesharud tayari , miezi 6 imeshaisha waliyofungiwa
 
Back
Top Bottom