kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,966
- 26,220
Huyu jamaa nadhani ni upepo tu umemtembelea vizuri,lkn kiuhalisia he is not competent kabisa na hivyo vyeo alivyopewa.
Nashindwa kuelewa majukumu yake huwa anafanya saa ngapi coz muda mwingi yuko mitandaoni anapost tu,mara ajipost anasonga ugali,mara ajipost ananyanyua mivyuma ya mazoezi,mara ampost mama kumsifia kinafiki,anajibishana na watu hovyo kwenye mitandao,
Mara ajipost yuko sijui anakimbia na majobless kama akina Maulid kitenge na upuuzi mwingine wa aina hiyo ambao huwezi kukuta viongozi wenzie wenye nyadhifa kama zake wanapost kwenye page zao.
Sasa huyu mtu sijui majukumu yake huwa anayatekeleza muda gani kwa kweli. Sioni kama anafaa kuendelea kuwa kwenye hizo nyadhifa.