aliyemteua yuko comfortable, unajitesa kisailojia kuwafanyia tathmini ya utendaji (perfomance appraisal) wateule wa RaisHuyu jamaa nadhani ni upepo tu umemtembelea vizuri,lkn kiuhalisia he is not competent kabisa na hivyo vyeo alivyopewa.
Nashindwa kuelewa majukumu yake huwa anafanya saa ngapi coz muda mwingi yuko mitandaoni anapost ujinga tu,mara ajipost anasonga ugali,mara ajipost ananyanyua mivyuma ya mazoezi,mara ampost mama kumsifia kinafiki,anajibishana na watu hovyo kwenye mitandao,mara ajipost yuko sijui anakimbia na majobless kama akina Maulid kitenge na upuuzi mwingine wa aina hiyo ambao huwezi kukuta viongozi wenzie wenye nyadhifa kama zake wanapost kwenye page zao.
Sasa huyu mtu sijui majukumu yake huwa anayatekeleza muda gani kwa kweli. Sioni kama anafaa kuendelea kuwa kwenye hizo nyadhifa.
Sasa huyo Imam hapa anaingiaje kwa mfanoTatizo jamaa hamtegemei na kumtumaini kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
View attachment 3413079
Ashampoo burning Jagina
Washamba ndio zao, wakiingia mjini wakapata huwa wanashoboka vibaya.Huyu jamaa nadhani ni upepo tu umemtembelea vizuri,lkn kiuhalisia he is not competent kabisa na hivyo vyeo alivyopewa.
Nashindwa kuelewa majukumu yake huwa anafanya saa ngapi coz muda mwingi yuko mitandaoni anapost ujinga tu,mara ajipost anasonga ugali,mara ajipost ananyanyua mivyuma ya mazoezi,mara ampost mama kumsifia kinafiki,anajibishana na watu hovyo kwenye mitandao,mara ajipost yuko sijui anakimbia na majobless kama akina Maulid kitenge na upuuzi mwingine wa aina hiyo ambao huwezi kukuta viongozi wenzie wenye nyadhifa kama zake wanapost kwenye page zao.
Sasa huyu mtu sijui majukumu yake huwa anayatekeleza muda gani kwa kweli. Sioni kama anafaa kuendelea kuwa kwenye hizo nyadhifa.
Duuh! Huyu kaandika nini, kwl watu tuna stressTatizo jamaa hamtegemei na kumtumaini kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
View attachment 3413079
Ashampoo burning Jagina
Kiatu alichovaa ni kikubea sana kwakeHuyu jamaa nadhani ni upepo tu umemtembelea vizuri,lkn kiuhalisia he is not competent kabisa na hivyo vyeo alivyopewa.