Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Hapo nakukataa MkuuMkuu unauelewa Gani kuhusu gesi asilia?
Kwa Dar es salaam vituo vya gesi asilia ni vyakujitosheleza kwasasa hata msongamano sikuhizi haupo katika vituo, jukumu lililobaki ni watu kubadili mfumo wa Gali (Maamuzi ya mtu binafsi)
Kuhusu Dodoma na mikoa mingine njia Bora ni kupelekwa bomba la gesi Hadi sehemu husika jambo ambalo SI la wiki Moja (hauwezi kuwa mpango wa dharura), njia nyingine ni kupelekwa gesi kwa magari jambo linalo hitaji uagize magari maalumu pamoja na kutengeneza vituo maalumu kwaajili ya regasification (hii haiwezi kuwa mpango wa dharura pia)
Gesi tuliyonayo inatunufaisha vipi?
Kwasasa Tanzania gesi yote inayozalishwa inatumika nchini 100% kwenye uzalishaji wa umeme, matumizi ya viwanda, kwenye vyombo vya usafiri pamoja na matumizi ya majumbani kwa mikoa ya DSM, Lindi MTWARA
Gesi asilia haiwezi kuwa mpango wa dharura mikoani kwasasa. Isipokuwa inaweza kuwa mpango wa muda mrefu hapo baadae
Nitarudi.
Mkuu unauelewa Gani kuhusu gesi asilia?

kwenye matumizi ya majumbani mbona kama kimya mudamrefu sana , au hakuna uungwaji wa watu wapya?Mkuu unauelewa Gani kuhusu gesi asilia?
Kwa Dar es salaam vituo vya gesi asilia ni vyakujitosheleza kwasasa hata msongamano sikuhizi haupo katika vituo, jukumu lililobaki ni watu kubadili mfumo wa Gali (Maamuzi ya mtu binafsi)
Kuhusu Dodoma na mikoa mingine njia Bora ni kupelekwa bomba la gesi Hadi sehemu husika jambo ambalo SI la wiki Moja (hauwezi kuwa mpango wa dharura), njia nyingine ni kupelekwa gesi kwa magari jambo linalo hitaji uagize magari maalumu pamoja na kutengeneza vituo maalumu kwaajili ya regasification (hii haiwezi kuwa mpango wa dharura pia)
Gesi tuliyonayo inatunufaisha vipi?
Kwasasa Tanzania gesi yote inayozalishwa inatumika nchini 100% kwenye uzalishaji wa umeme, matumizi ya viwanda, kwenye vyombo vya usafiri pamoja na matumizi ya majumbani kwa mikoa ya DSM, Lindi MTWARA
Gesi asilia haiwezi kuwa mpango wa dharura mikoani kwasasa. Isipokuwa inaweza kuwa mpango wa muda mrefu hapo baadae
Nitarudi.
Nchini kwetu tuna vitaru vingi vinavyozalisha gesi asilia kutoka mikoa ya kusini (lindi ,mtwara) na hiyo gesi inafaa kwa matumizi mbalimbali (domestic & economically)
Je kwanini serikali haichukulii ongezeko la bei ya mafuta kama jambo la dharula na ikatafutwa njia ya haraka ya kudhibiti ongezeko la gharama za maisha kupitia gesi
Kwa mfano
Kuwataka watoa huduma za usafiri na usafirishaji kufunga mifumo ya gesi kwenye magari
Kujengwa kwa dharula vituo Cha kujazia gesi kwa mikoa kama ya dar es salaam, dodoma, mwanza Kagera, Kigoma na mtwara
Kufanya hivi kunaweza kuthibiti ongezeko la gharama za maisha
Au
Ndo kufa kufaana mwenye nacho anajiongezea masikini wafe na watoto wao?
Wala usirudi umeongea uharo mtupu, wee mwenyewe umeona umeongea madini. Chikichia tu mazima.Mkuu unauelewa Gani kuhusu gesi asilia?
Kwa Dar es salaam vituo vya gesi asilia ni vyakujitosheleza kwasasa hata msongamano sikuhizi haupo katika vituo, jukumu lililobaki ni watu kubadili mfumo wa Gali (Maamuzi ya mtu binafsi)
Kuhusu Dodoma na mikoa mingine njia Bora ni kupelekwa bomba la gesi Hadi sehemu husika jambo ambalo SI la wiki Moja (hauwezi kuwa mpango wa dharura), njia nyingine ni kupelekwa gesi kwa magari jambo linalo hitaji uagize magari maalumu pamoja na kutengeneza vituo maalumu kwaajili ya regasification (hii haiwezi kuwa mpango wa dharura pia)
Gesi tuliyonayo inatunufaisha vipi?
Kwasasa Tanzania gesi yote inayozalishwa inatumika nchini 100% kwenye uzalishaji wa umeme, matumizi ya viwanda, kwenye vyombo vya usafiri pamoja na matumizi ya majumbani kwa mikoa ya DSM, Lindi MTWARA
Gesi asilia haiwezi kuwa mpango wa dharura mikoani kwasasa. Isipokuwa inaweza kuwa mpango wa muda mrefu hapo baadae
Nitarudi.
Sasa huu si upumbavu kabisa muda mwingne napata hamasa ya kuwaunga mkono watu wanaosema kuzaliwa Africa ni laanaSiasa za nje ni ngumu sana.
Kabla ya kujiuliza hili, hebu tafakar kuwa
- Uganda ina Grude oil, ila hawajafikiria kujenga refinery ya kugeuza hiyo Grude kuwa Petrol au Diesel, na wakaamua kujenga Bomba had Bandar ya Tanga (kwa gharama kubwa) ili kuuza hiyo Grude nje. Alaf wao waendelea kununua Diesel na Petrol.😭😭😭😭😭
- Nigeria ina Grude oil, Dangote akajitosa kutengeneza Refinery (kwa gharama kubwa). Ili aweze kununua grude kwa serikal , kugeuza kuwa mafuta na kuyauza nchin kwake.
Alaf baada ya kukamilisha kiwanda. Serikal ya nchi yake ikakataa kununua mafuta kutoka kwake 😎😎😎 ikaendelea kuagiza mafuta nje.😂😂😂😂.
Mfereji wa Harmuz inasemwa unapitisha 20% ya mafuta yote ya dunian. Mgogoro wa mwez tu Umepandisha mafuta TZ kwa zaid ya 1k.😭😭😭😭
Imagine kama mafuta yakiadimika kwa 80% .
Afrika haiwez kuwa huru.
Kuna Siasa kubwa sana Nchi zilizoendelea wanatuchezea Afrika.
Nchini kwetu tuna vitaru vingi vinavyozalisha gesi asilia kutoka mikoa ya kusini (lindi ,mtwara) na hiyo gesi inafaa kwa matumizi mbalimbali (domestic & economically)
Je kwanini serikali haichukulii ongezeko la bei ya mafuta kama jambo la dharula na ikatafutwa njia ya haraka ya kudhibiti ongezeko la gharama za maisha kupitia gesi
Kwa mfano
Kuwataka watoa huduma za usafiri na usafirishaji kufunga mifumo ya gesi kwenye magari
Kujengwa kwa dharula vituo Cha kujazia gesi kwa mikoa kama ya dar es salaam, dodoma, mwanza Kagera, Kigoma na mtwara
Kufanya hivi kunaweza kuthibiti ongezeko la gharama za maisha
Au
Ndo kufa kufaana mwenye nacho anajiongezea masikini wafe na watoto wao?
Nimeongea fact kama unapinga njoo na hoja uniambie mpango wa dharura wa kutumia gesi asilia kwenye kipindi hili unautekelezajeWala usirudi umeongea uharo mtupu, wee mwenyewe umeona umeongea madini. Chikichia tu mazima.
Nimeongea fact kama mtaalamu tu Sina Cha kufanya kwenye siaza za bongo na Africa, njoo hapa na mindset Yako Bora ya kimaendeleo uniambie mpango wa dharura wa kutumia gesi asilia badala ya mafuta kwa kipindi hiki unautekelezajeCHAWA Mindset