Kamyamya JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 588 Reaction score 621 Apr 3, 2026 #21 Nauliza tu wakuu yawezekana nikawa nje ya mada " hivi gesi asilia hatuwezi kujaza kwenye mitungi tukatumia kupikia kama ilivyo sasa hii tunayotumia ya LPG?
Nauliza tu wakuu yawezekana nikawa nje ya mada " hivi gesi asilia hatuwezi kujaza kwenye mitungi tukatumia kupikia kama ilivyo sasa hii tunayotumia ya LPG?