Hivi Giggy money ni nani hapa Tanzania?

Khaaa?? Kwa hiyo kwa kupiga picha hizo tu kawa maarufu


Tatizo la Tanzania ni kwamba tuna mazezeta wengi na ujinga hapa Bongo ndiyo tunao utukuza zaidi. Ebu muangalieni huyu demu kwa mfano, hana uzuri wowote bali ana tako kubwa na pengine hata yeye mwenyewe anajiona ni sexy figure wakati she's obese. Usishangae haka kademu kanashinda mitandaoni kujipiga picha na kujiuza au kujipeleka kwa Le Mutuz ili akatangazwe apate kuwekwa mjini na wapuuzi. Anashindwa kufikiria kuwa anachezewa tu na minjemba. We mwanamme atakupa hela mchepuko bila kuku-abuse? Never.
 
Aisee inachekesha sana,kama kwa picha zile tu kawa maarufu
 
duh!kama ndo hivo basi tumsamehe bure tu
 

Amefyatuka!
 
Kuna rais A alimwambia rais B wa nchi jirani kuwa ww rais B unatawala maiti mm natawala wagonjwa.
Ww unaraha hao maiti unaowatawala hatakuja kufufuka milele lakini mm hawa wagonjwa ipo siku watapona.
Sasa sijui sisi wtz tuko ktk utawala wa rais gani ktk hao?
Maana kabinti kama hakana kanasumbuwa watu kwa vijambo visivyo na mantiki.
Kabinti kame delete maadili ya kiafrika na maadili ya dini ya wazazi wake...
mungu apishe mbali maana na sisi ni wazazi lakini kama ni kakwangu ningebadilishana na gunia la mkaa...potelea mbali
 
Leo nimemsikia Clouds fm akielezea historia yake kama ile ndio kweli historia yake basi ana haki ya kufanya hayo anayoyafanya wala simlaumu.
Asee nme iskia ile story tym ya sudy brown

Hahaha na mi nkajua ndio maana ako hvo
 
Ngoja TCRA wazime hivi visimu bandia ili hawa akina Giggy sijui wapotee. Kwa sababu watumiaji wapumbavu wa mitandao ndio wametuletea hawa akina Giggy.
Kuna mwingine sijui anaitwa Tunda, yaani hata sijui ana umaarufu wa nini hadi anatajwa tajwa? Ngoja zizimwe tu na TCRA ili tupumue kidogo na kurudisha heshima.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…