Hivi Giggy money ni nani hapa Tanzania?

Hivi Giggy money ni nani hapa Tanzania?

Anawenzake wanaakili kama zake wao wanapiga mapicha ya ajabu na kupost mitandaoni
49c88a36edb6777e02ad979a5583982c.jpg
406409f09a51af02dbac14e47a633595.jpg
baf5d160a365f2abbeefc8d207721010.jpg
db551a0ca6ec5489ad4fcc2a1866dc10.jpg
 
Khaaa?? Kwa hiyo kwa kupiga picha hizo tu kawa maarufu

Tatizo la Tanzania ni kwamba tuna mazezeta wengi na ujinga hapa Bongo ndiyo tunao utukuza zaidi. Ebu muangalieni huyu demu kwa mfano, hana uzuri wowote bali ana tako kubwa na pengine hata yeye mwenyewe anajiona ni sexy figure wakati she's obese. Usishangae haka kademu kanashinda mitandaoni kujipiga picha na kujiuza au kujipeleka kwa Le Mutuz ili akatangazwe apate kuwekwa mjini na wapuuzi. Anashindwa kufikiria kuwa anachezewa tu na minjemba. We mwanamme atakupa hela mchepuko bila kuku-abuse? Never.
 
Aisee inachekesha sana,kama kwa picha zile tu kawa maarufu
 
Leo nimemsikia akitoa story yake, kwamba Mama yake alipompa mwanaume taarifa kuwa ana ujauzito....Mwanaume akatoa elfu themanini ili mimba itolewe....Mama alipofika eneo la tukio akamuona mwenzake anayetoa mimba amepoteza maisha ndio akaihirisha kutoa.

Kwa hiyo you can imagine malezi atakayokuwa amepitia mdada wa watu maskini ya Mungu....labda ndio maana amefyatuka.
duh!kama ndo hivo basi tumsamehe bure tu
 
Leo nimemsikia akitoa story yake, kwamba Mama yake alipompa mwanaume taarifa kuwa ana ujauzito....Mwanaume akatoa elfu themanini ili mimba itolewe....Mama alipofika eneo la tukio akamuona mwenzake anayetoa mimba amepoteza maisha ndio akaihirisha kutoa.

Kwa hiyo you can imagine malezi atakayokuwa amepitia mdada wa watu maskini ya Mungu....labda ndio maana amefyatuka.

Amefyatuka!
 
Kuna rais A alimwambia rais B wa nchi jirani kuwa ww rais B unatawala maiti mm natawala wagonjwa.
Ww unaraha hao maiti unaowatawala hatakuja kufufuka milele lakini mm hawa wagonjwa ipo siku watapona.
Sasa sijui sisi wtz tuko ktk utawala wa rais gani ktk hao?
Maana kabinti kama hakana kanasumbuwa watu kwa vijambo visivyo na mantiki.
Kabinti kame delete maadili ya kiafrika na maadili ya dini ya wazazi wake...
mungu apishe mbali maana na sisi ni wazazi lakini kama ni kakwangu ningebadilishana na gunia la mkaa...potelea mbali
 
Leo nimemsikia Clouds fm akielezea historia yake kama ile ndio kweli historia yake basi ana haki ya kufanya hayo anayoyafanya wala simlaumu.
Asee nme iskia ile story tym ya sudy brown

Hahaha na mi nkajua ndio maana ako hvo
 
Ngoja TCRA wazime hivi visimu bandia ili hawa akina Giggy sijui wapotee. Kwa sababu watumiaji wapumbavu wa mitandao ndio wametuletea hawa akina Giggy.
Kuna mwingine sijui anaitwa Tunda, yaani hata sijui ana umaarufu wa nini hadi anatajwa tajwa? Ngoja zizimwe tu na TCRA ili tupumue kidogo na kurudisha heshima.

Ova
 
Back
Top Bottom