Hivi Giggy money ni nani hapa Tanzania?

Hivi Giggy money ni nani hapa Tanzania?

015eae6014e41b5e6307c768a6f643e0.jpg
wewe unayesema humujui huyo wapo mtoto



Mbona lina kitambi namna iyo
 
Tafuta video ya Godzilla ya I get high, kuna mdada anabenjuka humo na anasukuma trolley fulani hivi, ndo yeye!
Kwa lugha nyingine, kasema kama kuna mwanaume anamtaka yuko tayari ila uwe unampa si chini ya kilo tano!
Waweza jua sasa kazi yake!
 
Tafuta video ya Godzilla ya I get high, **** mdada anabenjuka humo na anasukuma trolley fulani hivi, ndo yeye!
Kwa lugha nyingine, kasema kama kuna mwanaume anamtaka yuko tayari ila uwe unampa si chini ya kilo tano!
Waweza jua sasa kazi yake!
Kwa hiyo anajiuza laivu
 
Ila tuweke utani pembeni, huyu dada ni wa kawaida sana, sioni upekee wowote ule hapo! Ila anafaa kwa matumizi ya kuto****a.
Yap...!!! Ni wa kawaida sana kama wengine tu wanaopambwa Na vyombo vya habari.!
 
Leo nimemsikia akitoa story yake, kwamba Mama yake alipompa mwanaume taarifa kuwa ana ujauzito....Mwanaume akatoa elfu themanini ili mimba itolewe....Mama alipofika eneo la tukio akamuona mwenzake anayetoa mimba amepoteza maisha ndio akaihirisha kutoa.

Kwa hiyo you can imagine malezi atakayokuwa amepitia mdada wa watu maskini ya Mungu....labda ndio maana amefyatuka.
 
Back
Top Bottom