Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la Lema anapenda kumfurahisha mbowe huku akitaka kumfurahisha na Lissu. Anaishi kinafiki sana kwa koti na maandiko matakatifuMambo mengine ni serious sana, mfano haya mambo mbona kama ni makubwa na baadhi inaonekana hayana ukweli ?
View attachment 3010375
View attachment 3010377
Tatizo liko wapi hapo?!Tatizo la Lema anapenda kumfurahisha mbowe huku akitaka kumfurahisha na Lissu. Anaishi kinafiki sana kwa koti na maandiko matakatifu
Hakuna baya hapo...Mambo mengine ni serious sana, mfano haya mambo mbona kama ni makubwa na baadhi inaonekana hayana ukweli?
View attachment 3010377