Kuna jamaa alileta stori ya misukule humu nmesahau id, nilicheka huwa siisahau.......
Eti mtu kaenda duka la muhindi, kaenda na misukule basi anabeba vitu misukule nayo inabeba, kumbe muhindi nae yupo vizuri, anaona.
Kupewa bill akakataa hajachukua bidhaa za bei hizo akaambiwa hao watu wako pia wamechukua, mhindi akamnyang'anya hivo vitu akaichukua na misukule ikabaki dukani kwake akaifanya kuwa yake๐๐๐๐