Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Enock Koola akiwa anaendelea na kampeni katika kata mbalimbali za jimbo hilo amewahaidi wananchi wa jimbo hilo kutatua kero ya maji inayo wakabili wananchi hao Aidha amewaomba wananchi wote wa Vunjo kujitokeza kwa wingi tarehe 29 Oktoba kutupigia kura, ili kila Mtanzania aweze kujivunia maendeleo yatakayofanywa na serikali katika sekta mbalimbali na kuigusa jamii.