Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
Naomba msaada Great Thinkers!
Kuna baadhi katika jamii wanaitwa Malaya...lakini wenyewe jina hilo hawalipendi asilani.
Sasa najiuliza kwani ni vitu gani ukifanya ndio unakua Malaya?
Mod naomba asini-BAN...imebidi nitumie jina hilo hilo hata kama kuna neno lake lenye tafsida. Ila mimi silijui.
Nisaidieeeeeeennniii!
Kuna aina nyingi za malaya
Nadhani wote hawa wana tafsiri tofauti
- Wa Kisiasa
- Kiume
- na wakike
Hulali MCHUNGAJI???
Nasubiria mwaka mpya best!
Cheki na WEMA SEPETU
Ili uweze kua M*laya lazima uwe na uhusiano wa kingono na watu zaidi mmoja kwa wakati mfupi.
swali zuriSo unamaanisha wale ma ustaadh wanaooa mke zaid ya mmoja ni malaya pia
So unamaanisha wale ma ustaadh wanaooa mke zaid ya mmoja ni malaya pia
Kiherehere unatafuta BAN kipindi hiki cha mwisho wa mwaka. Si vizuri kumtusi mtu hapa JF (kwa mujibu ea sheria za JF)Cheki na WEMA SEPETU
Humu JF napaamini mno! humu hakuna kok*to!......Kwanini usiwaulize hao wanaowaita wenzao hivyo?Wao ndo watakupa jibu unalolitaka!
Umenitosheleza! Endelea tena kunipa ufafanuzi!Hapana hawa ma Ustaadhi sio malaya wao ni wana ndoa, ukiwa ndani ya ndoa hufanyi ngono unafanya tendo la ndoa, ila unapo kua nje yandoa ni unafanya ngono , hapo ndio una qualify kuitwa Malaya.
jina lake mwenyewe tu "kiherehere" linatosha kumuonea huruma ingawa kafanya name callingKiherehere unatafuta BAN kipindi hiki cha mwisho wa mwaka. Si vizuri kumtusi mtu hapa JF (kwa mujibu ea sheria za JF)
Akilala tuta***ea!Hulali MCHUNGAJI???
Kuna aina nyingi za malaya
Nadhani wote hawa wana tafsiri tofauti
- Wa Kisiasa
- Kiume
- na wakike
Acid!Ili uwe malaya inabidi ufanye matendo ya kimalaya