Sniper
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 1,957
- 827
wawili
kama ni hivyo basi kuna vicheche wengi sana kuzidi hao wanaoitwa vicheche
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wawili
Maswali mengine bwana!Unataka kujua kama umefikia kiwango?Piga hesabu ya uliokua nao na sababu zilizokusukuma kua nao...maana unaweza ukawa umetembea na wengi bila kukusudia katika harakati za kumtafuta anaekufaa!
kama ni hivyo basi kuna vicheche wengi sana kuzidi hao wanaoitwa vicheche
Kama hukufanya kwa nia ya kutembeza nanii yako kila kona ya mji/nchi basi sio kicheche!Mimi nilitembea na kama ishitini hivi, ila mwishoni nikampata anayenifaa.