Hivi hadi uitwe MALAYA ni vitu gani uvifanye?

Mtu anayeuza mwili sio malaya bali ni kahaba. malaya ni mtu mwenye mahusiano ya kimapenzi na watu wengi katika mda mfupi au muda mmoja.
 
Ok! Ok! Ok! Bongolander.
ukiwa hivyo uitwe Ma**ya?
Endelea kutufafanulia tu.
Hata walio kwenye ndoa waweza kua Ma**ya?
 
Mtu anayeuza mwili sio malaya bali ni kahaba. malaya ni mtu mwenye mahusiano ya kimapenzi na watu wengi katika mda mfupi au muda mmoja.
Hivi unaweza kujiita kwa wenzio jina hili?
Watakuelewa?
 
Mtu anayeuza mwili sio malaya bali ni kahaba. malaya ni mtu mwenye mahusiano ya kimapenzi na watu wengi katika mda mfupi au muda mmoja.

Hapo ni tofauti ya majina tu, lakini wote kahaba/malaya mahayawani tu!!
 
Hapana hawa ma Ustaadhi sio malaya wao ni wana ndoa, ukiwa ndani ya ndoa hufanyi ngono unafanya tendo la ndoa, ila unapo kua nje yandoa ni unafanya ngono , hapo ndio una qualify kuitwa Malaya.
mhh bas dzain waanaume asilimia 99 ni MALAYA.
nawasilisha.
 
ebwana shehe maalim eeh
kama we jibaba unagonga gonga madem sana unakuwa malaya
kama we demu unagongwa gongwa sana basi we malaya
kwa maana ya kuwa na demu au men zaidi ya mmoja kwenye life time moja
ebwana bab kubwa shehe maalim
 
mmmmh,wengine wana ulizia kuwa na maendeleo wewe unaulizia kurudi nyuma
 
ebwana shehe maalim eeh
kama we jibaba unagonga gonga madem sana unakuwa malaya
kama we demu unagongwa gongwa sana basi we malaya
kwa maana ya kuwa na demu au men zaidi ya mmoja kwenye life time moja
ebwana bab kubwa shehe maalim

Umeni7basha inikwame na kupaliwa hii juisi ya pilipili hoho.
Mbavu zinauma mmmiiieee!
Yaani mwaka huu unaisha kwa furaha na nyie wana JF.
atii kama me ni demu nagongwa ni malaya...atii kama me ni dume nagonga gonga hovyo ni malaya.
Niliuliza ni vitu gani ukifanya ndio uitwe malaya?
 
WanaJF hivi ni idadi gani mwanamke/mwanamme akitembea nao kimapenzi anahesabika kuwa ni kicheche?
 
Maswali mengine bwana!Unataka kujua kama umefikia kiwango?Piga hesabu ya uliokua nao na sababu zilizokusukuma kua nao...maana unaweza ukawa umetembea na wengi bila kukusudia katika harakati za kumtafuta anaekufaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…