Hivi hadi uitwe MALAYA ni vitu gani uvifanye?

Maswali mengine bwana!Unataka kujua kama umefikia kiwango?Piga hesabu ya uliokua nao na sababu zilizokusukuma kua nao...maana unaweza ukawa umetembea na wengi bila kukusudia katika harakati za kumtafuta anaekufaa!


Mimi nilitembea na kama ishitini hivi, ila mwishoni nikampata anayenifaa.
 
Mimi nilitembea na kama ishitini hivi, ila mwishoni nikampata anayenifaa.
Kama hukufanya kwa nia ya kutembeza nanii yako kila kona ya mji/nchi basi sio kicheche!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…