Wakuu hivi kwa mini huwa vigumu kwa club zetu kualikana katika siku zao muhimu mfano SIMBA DAY, club ya SIMBA iwaalike YANGA au AZAM ili kujiongezea mapato, kuliko kualika timu za nje kila mara, ni bora wangefanya hata mara moja moja basi
Yaani Yanga na Azam zialikwe na timu ya matopeni ? Kama sio kushushiana heshima ni nini? Teh teh teh
On a serious note, wangevuna hela nyingi sana lakini lazima ziwe chungu kwa atayefungwa!