Hivi haiwezekani club zetu kualikana katika siku zao muhimu?

Hivi haiwezekani club zetu kualikana katika siku zao muhimu?

Bigbootylover

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
2,847
Reaction score
1,828
Wakuu hivi kwa mini huwa vigumu kwa club zetu kualikana katika siku zao muhimu mfano SIMBA DAY, club ya SIMBA iwaalike YANGA au AZAM ili kujiongezea mapato, kuliko kualika timu za nje kila mara, ni bora wangefanya hata mara moja moja basi
 
Yaani Yanga na Azam zialikwe na timu ya matopeni ? Kama sio kushushiana heshima ni nini? Teh teh teh
On a serious note, wangevuna hela nyingi sana lakini lazima ziwe chungu kwa atayefungwa!
 
sio kosa letu walioturithisha ndo wametuachia utamaduni huo.
 
Back
Top Bottom