Hivi haiwezekani dunia nzima tukaungana tukaivamia North Korea kupitia UN na kumtoa Kim Jong Un madarakani?

Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII

Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.

Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?

Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?

Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?

Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?

Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.

Shida ni kufikiri Kim ni Mtanzania, hapo unaweza kufikiri tabia zenu za kufukuzwa na gari moja la polisi watu 1000
 
Lugha yetu ya kiswahili inatumika vibaya sana.

Unaona sawa kabisa kuvamia Nchi ya mwenzenu kisa Wana Nchi wake hawana uhuru wewe hapa kwako una uhuru Gani wa kumtambia raia wa Korea Kasi? Utofauti uliopo kati Yako na korea Kasi ni % chache maana wakosoaji wa serikali wote mna uawa kama mbwa tu.

Hata mkiungana china hawezi kumpiga kiduku Russia na Iran Hawa wote ni kitu kimoja.

Tukija Kwa Africa hamna Kila kitu labda uchawa.
Mbona umemjibu vizuri
 
Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII

Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.

Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?

Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?

Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?

Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?

Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.

Tungeanza na nyumbani kwanza
 
NAFIKIRI ULITAKA KUULIZA..

Hivi lini tusiungane tukaitoa chukuwachakomapema madarakani, tuondokane na ufisadi, wizi, uzembe, kupendeleana, ulafi na uroho wa kuuza na kuiba rasilimali na maliasili za nchi?!?!
 
Kuzaliwa North Korea ni aheri kuzaliwa ndani ya jela kwa nchi za Magharibi.

Wananchi wa North Korea wamezuiwa kusherehekea hata Christmas eti ni sherehe ya kimagharibu, badala yake wanatakiwa kusherehekea siku aliyozaliwa bibi yake Kim. Jong Un.

North Korea ukipatikana na biblia, au mkakusanyika kusali, adhabu ni jela miaka 15.

Kama umezaliwa Korea kaskazini ni marufuku kutoka nje ya nchi.

North Korea ukipatikana umevaa jeans au nguo yoyote inayotafsiriwa ni ya kimagharibi, adhabu ni jela.

Ukinunua TV lazima uipeleke polisi ikaandikishwe na ikawe tuned kwa station ya North Korea.

North Korea, hakuna anayeruhusiwakutumia internet.

Hayo ni machache, yanayoshangaza.
Acha propaganda za kipumbavu N.korea ina raia zaidi ya million 3 wanaishi nje ya nchi yao.
 
Kuzaliwa North Korea ni aheri kuzaliwa ndani ya jela kwa nchi za Magharibi.

Wananchi wa North Korea wamezuiwa kusherehekea hata Christmas eti ni sherehe ya kimagharibu, badala yake wanatakiwa kusherehekea siku aliyozaliwa bibi yake Kim. Jong Un.

North Korea ukipatikana na biblia, au mkakusanyika kusali, adhabu ni jela miaka 15.

Kama umezaliwa Korea kaskazini ni marufuku kutoka nje ya nchi.

North Korea ukipatikana umevaa jeans au nguo yoyote inayotafsiriwa ni ya kimagharibi, adhabu ni jela.

Ukinunua TV lazima uipeleke polisi ikaandikishwe na ikawe tuned kwa station ya North Korea.

North Korea, hakuna anayeruhusiwakutumia internet.

Hayo ni machache, yanayoshangaza.
Sasa hayo yote uliyotaja yanaumuhimu gani, kama ndio yaliyopo kwenye katiba yao na wanayafata. Tatizo west wameset standard ya maisha yenu mnayotaka muishi na ambao wanaishi tofauti na hivyo mnaona wanaonewa. Hapo west wamesema pia wanaume ruhusa kupigana miti itafikia kipindi mtaanza lalamikia nchi nyingine kwa nini hawaruhusu huo upumbavu.
 
Mimi sio muumini wa baadhi ya mambo ambayo anayafanya kiduku lakini unamvamia kwa sababu zipi?

Lile ni taifa lake na lipo huru, wana sheria zao na namna yao ya uongozi. Vipi naye akisema hapendezwi na anacho kifanya US Dunia iipindue itakuaje? Sio kila taifa lazima liadapt mifumo ya US (West).

Na avamiwe kwa kosa lipi hasa labda, kutamba na silaha zake? Comon! Kiduku ni miongoni mwa viongozi wanao penda kutrend ndiyo lakini si ni taifa lake?

Kiduku anasababishaje vita ya tatu ya Dunia? Kwenye angle ipi? North Korea hana hata huo uwezo wa kufanya hivyo ni taifa tu ambalo Linajipambania kivyake na ndiyo maana saivi ametafuta allies wakubwa ili kujilinda.

Kuna mataifa huyo Kiduku hawezi hata kuyagusa zaidi ataishia kwenye tambo tu za kujimwambafai kitu ambacho hakuna anaye mkataza.

Huyo kuvamiwa ni mpaka aingilie maslahi ya wakubwa wa dunia na alete madhara kwao au kuua raia wao (hapo wanaweza hata kutafuta namna ya kumfanyia assassination) ila vinginevyo mwache mwamba ale utawala na hakuna mtu atamgusa.

Yaani watu wakae chini kuanza kuharibu mipango yao na resources zao kwa ajili ya kukufurahisha wewe kwa sababu unataka kiduku aende?

Kuna watu gani wanaogopwa hapa duniani kama CIA? They can take anyone down, hao wana black sites all over the world za kutesea na kuwapoteza watu ambao wengine wamepotea kwenye uso wa Dunia mpaka Leo (worst part ni kwamba some of them are innocent)... Why usiseme nao wapotezwe?

Kuna miongozo na sababu kubwa saaaana ambazo huwa zinafanya watu wanafikia hatua kama hiyo, yule ni kiongozi wa taifa lake na ni nchi huru.... Huwezi kumvamia kama kibaka. Ni labda itokee afanye massacre kwa hayo mataifa jambo ambalo naye hawezi kufanya kwa sababu sio fala.

Nadhani ulitaka ni kuchangamsha watu tu ila hata wewe unaelewa kwamba ulicho kiandika hakimake sense.
 
Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII

Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.

Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?

Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?

Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?

Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?

Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.

We bibi kamala ebu tulia ushinde uchaguzi kwanza ,,si tayari mna jeshi la nato ? Mnataka muungane vipi tena
 
Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII

Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao hawana uhuru wa kufanya chochote.

Kim ni Psycho. Hivi kwanini UN Security Council isikae chini ikavote kumtoa huyu maniac madarakani?

Ikafanyika coup flani hivi ya kibabe ikiongozwa na Western countries ili North Korea iwe huru?

Au ipitishwe UN resolution tu kuamua kwamba dunia nzima tunaunda jeshi la kumtoa Kim madarakani?

Kama ni nyuklia hata US anazo. Nini kinasababisha tusiweze kumdhibiti huyu kiumbe?

Hizi ni baadhi ya headlines zinaoonesha jinsi Kim anavyotafuta vita ya tatu ya dunia kwa nguvu.

Tukuvamie wewe, uko wapi kwanza?
 
Kwan iUna umri gani wee Binti?
 
Shida ni kufikiri Kim ni Mtanzania, hapo unaweza kufikiri tabia zenu za kufukuzwa na gari moja la polisi watu 1000
Huyu na yule Khamenei wa Iran ni machizi na Putin,wangefaa kuwa eliminated by any means
Kabla hamjafikiria huko, shughurika na matatizo ya karibu. Watoto wanauliwa kwa imani za upotovu za kishirikina. Wazeruzeru wanakatwa viungo nk.

Marekani imejijenga na inapata business kubwa za kuuza silaha zinazouwa watu hivyo usishiriki katika biashara haramu ya kuua watu ovyo kwa kuwachokonoa halafu kuwapiga.
 
Kuzaliwa North Korea ni aheri kuzaliwa ndani ya jela kwa nchi za Magharibi.

Wananchi wa North Korea wamezuiwa kusherehekea hata Christmas eti ni sherehe ya kimagharibu, badala yake wanatakiwa kusherehekea siku aliyozaliwa bibi yake Kim. Jong Un.

North Korea ukipatikana na biblia, au mkakusanyika kusali, adhabu ni jela miaka 15.

Kama umezaliwa Korea kaskazini ni marufuku kutoka nje ya nchi.

North Korea ukipatikana umevaa jeans au nguo yoyote inayotafsiriwa ni ya kimagharibi, adhabu ni jela.

Ukinunua TV lazima uipeleke polisi ikaandikishwe na ikawe tuned kwa station ya North Korea.

North Korea, hakuna anayeruhusiwakutumia internet.

Hayo ni machache, yanayoshangaza.
Na wana national haircut sio unajinyolea unavotaka

Nguo pia ziko moderated sio unajivalia unavotaka

Ndan ya nyumba kwako kuwe na picha ya Kim kama ma ofisi ya bongo yalivo na picha za maraisi
 
Back
Top Bottom