Hivi haiwezekani kuipata Ile screen ya zamani ya if nimeimic Sana

Hivi haiwezekani kuipata Ile screen ya zamani ya if nimeimic Sana

HOPEfull

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
1,882
Reaction score
2,313
Habari za Mwaka mpya

Hii feature mpya bado inanichanganya tu hata huwa sijui naanzia wapi natokea wapi naishi wapi yaani naishi ishi tu kwa mazoea humu .

Yaani kungekuwa na option ya kuchagua anaetaka kwenda Kaanani au kubaki Misri mi ningechagua kubaki Misri Kula matango na matikiti na nyama ya kukaanga .
 
Jamani ni screen ya jf na sio if sorry mnajua tena Simu zetu hizi mtusamehe mods wanaweza edit lkn great thinkers wanaweza elewa.
 
Back
Top Bottom