Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Dodoma wanamalizia kujenga Outerring Roads ambazo zinazunguka jiji la Dodoma kwa pembeni ili malori na magari mengine yakatize huko bila kugusa eneo la mjini, kwa nini hii isifanyike Mbeya?
Kama wameona kuna msongamano jijini kwa nini wasitengenezee malori njia zao wenyewe?
Sasa unazuia bajaji barabara kuu, nini alternative ya fast, cheap and reliable transport kuliko bajaji kwa wananchi wa Mbeya?
Kungekuwa na Outerring Roads, barabara ya TANZAM pia iwe expanded na muache watu wafanye kazi maana Tanzania hii ajira hakuna. Hao madereva bajaji mtawapa kazi nyingine ya kufanya? Au mnataka waanze kukaba watu mitaani?
Hii ndio sababu kumetokea maandamano Mbeya. It doesn't make sense kuban bajaji kwenye jiji kama Mbeya, maana mnawarudisha vijana nyuma sasa. Bila kutumia barabara kuu hakuna trip za faida Mbeya ukizingatia jiji lilivyojengwa