Dodoma imechukua darasa kutoka miji ya Zambia hususani Lusaka, Ndola na Kitwe yani mjini hupiti kabisa na wamefanya toka zamani sanaa
Tatizo siasa huwa inaingilia kati mkuu.Wangestick na huu mpango. Ni bora kuliko kufukuzw madereva bajaji barabara kuu