Hiyo inaruhusiwa kwa mtu binafsi, ila ni gharama walala hoi wengi hawawezi.Hata watu binafsi wanaweza kujitengezea umeme wao tena kwa gharama nafuu wakaachana na longo longo la Main grid.
Mbona mnaposha sana?Hiyo inaruhusiwa kwa mtu binafsi, ila ni gharama walala hoi wengi hawawezi...
Kwanini wasiruhusiwe kuwa na nguzo zao? Au kupitisha waya chini?Wafanye kama makapuni ya simu ,washee miundombinu tu ya nguzo ila Production iwe ya mtu binafsi.
Kampuni binafsi anazalisha umeme wake anapitisha kwenye nguzo anapeleka kwa wananchi.
.
Yaani serikali yenyewe iwe inachimbia tu nguzo halafu kuwepo na makampuni ya kupitisha waya za umeme naamini nguzo moja kuna uwezekano wa kupitisha hata line tatu za umeme.
Yaani iwe kama barabara tu inajenga serikali lakini kila mtu anaweka usafiri wake.
Nimemaliza ni hivo tu yaani
hapa umepiga kamba, mzalishaji mdogo huweziunga 'gridi ya taifa'na Bado imeunga kwenye grid ya taifa.
Kuwa na nguzo zao itakuwa ni uchafu,minguzo itakuwa mingi sana ,labda hiyo option ya kupitisha chini kwenye tunnel kama wanavyofanya kwenye fibre optic cable ,then mtu akitaka kuunganishwa kuwe na ulazima wa kutumia amar cable kwenda kwa mteja.Kwanini wasiruhusiwe kuwa na nguzo zao? Au kupitisha waya chini?
Unajua wanapata megaweti (4) kama nawewe unaweza kupata hata 2 na ukjenga miundo mbinu kwa viwango vinavyo kubalika ,mteja wako anaweza kua Tanesco.hapa umepiga kamba, mzalishaji mdogo huweziunga 'gridi ya taifa'
Jaribu kupitia hapo kabla hujanibatiza jina la (muongo)hapa umepiga kamba, mzalishaji mdogo huweziunga 'gridi ya taifa'
data za tanesco , huyo hayupoJaribu kupitia hapo kabla hujanibatiza jina la (muongo) View attachment 2439544
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayumo kwenye data zao lakini anawauzia umeme? Hapo sijaelewa ,wanafanya biashara na mtu wasie mtambua?data za tanesco , huyo hayupo
Makampuni ya uzalishaji yapo,, ya usambazaji labda in small scale huko vijijini,,,, hatuwezi kuwa na makampuni makubwa ya kusambaza nyaya zake, ni ufala😄Habari za humu wana jukwaa natumaini hamjambo.
Nimekuja na mada hii baada ya kulala giza kila wakati, pia kushindwa kufanya kazi zangu za kiuchumi.
Yaani serikali yenyewe iwe inachimbia tu nguzo halafu kuwepo na makampuni ya kupitisha waya za umeme, naamini nguzo moja kuna uwezekano wa kupitisha hata line tatu za umeme.
Yaani iwe kama barabara tu inajenga serikali lakini kila mtu anaweka usafiri wake.
Nimemaliza, ni hivo tu yaani.
Sera ya chama.chetu hairuhusu nishati hii kufanywa kiholela..TANESCO yatosha.Habari za humu wana jukwaa natumaini hamjambo.
Nimekuja na mada hii baada ya kulala giza kila wakati, pia kushindwa kufanya kazi zangu za kiuchumi.
Yaani serikali yenyewe iwe inachimbia tu nguzo halafu kuwepo na makampuni ya kupitisha waya za umeme, naamini nguzo moja kuna uwezekano wa kupitisha hata line tatu za umeme.
Yaani iwe kama barabara tu inajenga serikali lakini kila mtu anaweka usafiri wake.
Nimemaliza, ni hivo tu yaani.