Jamaa zangu walioko visiwa vya Zanzibar wanadai hakuna mgao wa umeme kule.
Sijajua ni utaratibu gani unatumika, kama upo na umeme wa kule unatoka bara si na sisi huku bara tuutumie utaratibu huo huo?
Naomba mwenye maarifa zaidi anijuze, au ndio suala la kwamba visiwani ni wateja wetu wa umeme kwa hiyo hawahusiki na mgao?