Hivi Haji Manara bado msemaji wa club ya Simba SC?

Gongowazi badala ya kujadili hatma ya yule kocha wenu dalali baada ya kufungwa leo.. mishipa imewatoka kufatilia habari za Machampion
 
Hizo kanuni zilikuwa wapi siku zote wakt Manara akiwa msemaji wa Simba?
Au wameziweka juzi kumtafutia sababu wamwondoe?

Wee upo jikoni, waambie hao viongozi waache ujinga, sheria zianze siku manara anaondoka mwenyewe au anakufa!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii kali 🀣🀣 🀣
 
Hizo kanuni zilikuwa wapi siku zote wakt Manara akiwa msemaji wa Simba?
Au wameziweka juzi kumtafutia sababu wamwondoe?

Wee upo jikoni, waambie hao viongozi waache ujinga, sheria zianze siku manara anaondoka mwenyewe au anakufa!
Kumbuka sasa hivi club inaendeshwa kama kampuni. Simba sasa hivi iko viwango vya Barcelona, Man U, Arsenal nk kwani ujue kuna uwekezaji pale.
Hayo mambo ya timu za Ndondo wameachiwa jamaa wa wale walio Botswana leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…