Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 hii kali 🤣🤣 🤣Hizo kanuni zilikuwa wapi siku zote wakt Manara akiwa msemaji wa Simba?
Au wameziweka juzi kumtafutia sababu wamwondoe?
Wee upo jikoni, waambie hao viongozi waache ujinga, sheria zianze siku manara anaondoka mwenyewe au anakufa!
Kumbuka sasa hivi club inaendeshwa kama kampuni. Simba sasa hivi iko viwango vya Barcelona, Man U, Arsenal nk kwani ujue kuna uwekezaji pale.Hizo kanuni zilikuwa wapi siku zote wakt Manara akiwa msemaji wa Simba?
Au wameziweka juzi kumtafutia sababu wamwondoe?
Wee upo jikoni, waambie hao viongozi waache ujinga, sheria zianze siku manara anaondoka mwenyewe au anakufa!