Hivi Haji Manara ni msemaji wa Simba au mchambaji Yanga?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti mchambaji
 
Anae mjua msemaji wa timu ya arsenal,man u,man City,Chelsea amtaje hapa

Ndio mtajua manara Hana kariba ya usemaji wa timu at least " TEN" anakuja kuja katika usemaji wa timu
Huo ni ushamba, kila jamii inautamaduni wao.
Yanga saizi watu hawana hamasa na timu kwa sababu Ten ameshindwa kukivaa kiatu cha Muro.
Angalia saizi akina Jimy kindoki ndo wanaangaika kuleta hamasa Yanga,
Jana kaenda clouds anatoa maneno ya shombo eti anavideo ya Greyson wa simba akicheza movie india, .
Haji ni mzr sana Kwenye promotion kulingana na culture ya wabongo.
Alishajua kua Tamasha la Yanga ni jpili, siku moja mbele ni Simba. Ndo mana kaja na slogani ya Iga ufe.
Yote ni kuleta hamasa kwa mashabiki.
Na simba bora wamwache aendelee kubaki lasivyo inaweza ikawakuta ya Yanga watu kutoenda uwanjani
 
Soka la ulaya usilete huku bongo kwenye timu ambazo hazina viwanja.
Huyo TEN yuko Yanga na Manara yuko Simba kila mtu na moto wake, usitake wafanane mkuu.
IGA UFE
Italia mbona hawana wanatumia vya manispaa
 
Yaaaaani huyo haji anaboa sana kwa kwel Yaaan ningekuwa na uwepo wa kupaza Sauti ningeliongelea hili na ningelikemea kabx
 
Huyo dogo hajafundwa anamkosea adabu hata baba yake.
Yanga ilipigania uhuru wa nchi hii, wahindi na waarabu wakishirikiana na vibaraka wao wakaingia mitini Sundaland aka Simba!!
Yanga club ya wananchi!!
 
Acheni hasira wanayanga. Hata kipindi nyie mnatamba na kujiita wa kimataifa mlikuwa kila uchwao mnawaandama simba na kuwaita wamatopeni.
Huu upinzani wa simba na yanga kwa Tanzania ni jadi.
 
Huyo dogo hajafundwa anamkosea adabu hata baba yake.
Yanga ilipigania uhuru wa nchi hii, wahindi na waarabu wakishirikiana na vibaraka wao wakaingia mitini Sundaland aka Simba!!
Yanga club ya wananchi!!
Hata baba yake anajua Haji yuko kazini.. wewe unampangia la kusema wakati humlipi wewe?
 
Haji ni mbumbu mbu, kama utafuatilia maneno anayo zungumza utagundua hajui anachokifanya kwa ujumla anaendeshwa na mihemko, ukisha mwelewa ni kumdharau na kuendelea na yako.
 
Thibitisha
Nenda kagoogle..list of football stadiums in Italy Wikipedia
 
Achana naye mbumbumbu huyo! Ameshasahau ni Yanga hiyo hiyo iliyomlisha, kumlea na kumsitiri pamoja na familia yake wakati mzazi wake alipokuwa ni mwajiriwa wa timu ya wananchi.
Ujinga ni Ujahili.Haji Manara alilelewa na babu yake Marehemu Haji Hassan.Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Simba. Mtoto wa Haji ni Yanga.Kuwa mpenzi wa timu fulani haindoi "utani ".Kama utani huuwezi basi kaa kando.
Utani wa hizi timu umegeuzwa uadui na wakuja wengi wasiojua asili ya utani huo.Simba na Yanga ni watani wa jadi na enzi hizo utani huo huo ulikuwa mpaka kwenye misiba na ndoa. Haji amekulia kwenye mazingira ya utani huo sio mazwazwa wa sasa wanaofikiri ni uadui.
 
Walewale kichwani kumejaa kamasi badala ya ubongo, aliyekwambia Simba na Yanga ni maadui ni nani? Watu kama nyie hamfai katika jamii maana ni hodari sana kupandikiza mbegu za uchochezi.
Namna mmoja ya kudidimiza adui Ni kumkashifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…