Yangadamu
Senior Member
- Mar 23, 2018
- 164
- 107
Kuazia leo ss maaduwi na siyo watani tena mkae mkijuwa ilo atutaki utan tenaSimba na Yanga sio maadui
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuazia leo ss maaduwi na siyo watani tena mkae mkijuwa ilo atutaki utan tenaSimba na Yanga sio maadui
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] daahKuazia leo ss maaduwi na siyo watani tena mkae mkijuwa ilo atutaki utan tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Haji hajitambui.
Sasa Leo ndo kapiga boko balaa.Huyu jamaa sasa ameanza.kuboa. kuchwa kutoa maneno ya kashfa dhidi ya Yanga. Huo ni uswahili kaka. Vichambo vyako vinaboa sana. Jikite kwenye kuipromote timu yako
Maneno yako ya shombo dhidi ya Yanga yanasababisha chuki.unaweza kumuharibia hata Modewji biashara zake. Kuna mashabiki wa Yanga wata susia kununua bidhaa za Mo Enterprises kwa sababu ya maneno yako.
Be proffessional kaka. Wewe umeajiriwa kuwa msemaji wa Simba na sio mtu wa kuichamba Yanga. Kama kuiponda Yanga basi iponde kwenye performance na sio masuala mengine yasiyo husiana na mpira uwanjani.
Halafu acha ufala bana. Unakuwa unafikiri sio mtoto wa Kariakoo bana. Simba sio baba ako wala mama.ako. Mungu kakujalia kipaji cha kuongea. Kesho na.keshokutwa unaweza kutimuliwa Simba, Yanga wakakuajiri uwe msemaji wao. Usiwe kama Shabiki maandazi. Wewe kuwa proffessional.
Halafu nashangaa what has came over u. Hukuwaga hivyo wewe. Enzi za madrassa kwa Ustadh Rama pale ulikuwaga smart sana siku hizi sijui umekuwaje weye.
Wewe ni msemaji wa Simba au Mchambaji wa Yanga?
Kila saa gongowazi gongowazi. Unaboa sana kaka. Be proffessional
Kwa hiyo una maana wenye kumkumbatia na kumpa ajira hawana akili?Wenye akili tulishamkataa Manara kitambo tu, hana akili kichwani.
Wanajuwa wenyewe wana maslahi naye gani.Kwa hiyo una maana wenye kumkumbatia na kumpa ajira hawana akili?
Haa Haa Unamkataa Vp Mkuu Wakati Anafanya Kazi Ya GSMWenye akili tulishamkataa Manara kitambo tu, hana akili kichwani.