Huyu jamaa sasa ameanza.kuboa. kuchwa kutoa maneno ya kashfa dhidi ya Yanga. Huo ni uswahili kaka. Vichambo vyako vinaboa sana. Jikite kwenye kuipromote timu yako
Maneno yako ya shombo dhidi ya Yanga yanasababisha chuki.unaweza kumuharibia hata Modewji biashara zake. Kuna mashabiki wa Yanga wata susia kununua bidhaa za Mo Enterprises kwa sababu ya maneno yako.
Be proffessional kaka. Wewe umeajiriwa kuwa msemaji wa Simba na sio mtu wa kuichamba Yanga. Kama kuiponda Yanga basi iponde kwenye performance na sio masuala mengine yasiyo husiana na mpira uwanjani.
Halafu acha ufala bana. Unakuwa unafikiri sio mtoto wa Kariakoo bana. Simba sio baba ako wala mama.ako. Mungu kakujalia kipaji cha kuongea. Kesho na.keshokutwa unaweza kutimuliwa Simba, Yanga wakakuajiri uwe msemaji wao. Usiwe kama Shabiki maandazi. Wewe kuwa proffessional.
Halafu nashangaa what has came over u. Hukuwaga hivyo wewe. Enzi za madrassa kwa Ustadh Rama pale ulikuwaga smart sana siku hizi sijui umekuwaje weye.
Wewe ni msemaji wa Simba au Mchambaji wa Yanga?
Kila saa gongowazi gongowazi. Unaboa sana kaka. Be proffessional