Hivi hakuna ahsante nyingine?

Hivi hakuna ahsante nyingine?

Tope

Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
74
Reaction score
61
Salam wakuu. Hakika nimepata mgagasiko WA nafsi na roho katika hili. Dada zetu na mama zetu mmekua mkitumia miili yenu kama sehemu ya ahsante pale mnapo tendewa jambo Fulani jema au haya kusaidiwa matatizo madogomadogo. Nayazungumza haya kwa uchungu kwa hili lililo nikuta mei mosi ya leo. Kuna ndugu ninafanya nae kazi alikua na tatizo kubwa katika ndoa yake kiasi alikua hana raha kabisa na akaniomba msaa da wa kusuluhisha mgogoro wao, nilikubali na kwa kuanza ilibidi aniunganishe na bibie ambaye ndio mwenza wake nami nikazungumza nae kwa kina nisiwachoshe sana nilifanikiwa kusuluhisha mgogoro na kuwafanya warudiane.Jana asubuhi bi dada akanipigia cm na kuniomba tuonane baada ya mid a ya kazi mi muhimu nikamuuliza kwema akasema mi kwema.Kwakua jamaa hayupo wiki sasa nikamtaarifu kuwa bibie kanambia nionane nae akasema poa. Baada ya kazi nikampigia akanambia niende kwake sikuona tatizo ni mitaa kadhaa kutoka kwangu.Baada ya stori mbili tatu bibie akaanza kulia sana kiasi nilipatwa na mshangao na bumbuwazi nini NASA chanzo cha kilio kile, nikajaribu kimbembeleza mpaka ikabidi no mkumbatie na kumbembeleza zaidi.Hakika sijui ilikuwaje mpaka sasa siamini nilicho kifànya na jamaa kanitext this morning anauliza niliitiwa kitu gani? Hivi Hanna ahsante nyingine zaidi ya mwili maana kwa Maelezo yake nikua amenipa ahsante kwa kuwafanya wawe pamoja. Wasalam!
 
Wanaume tunapenda ngono kuliko chakula hivyo wakina dada wanatupa tunachopenda wakijua ndio tunafurahia zaidi
 
[emoji3][emoji3] ushakua msaliti mzee. Umemsaliti mshkaji wako.
 
Daahh...!!
Sikutegemea kama unaelezea jinsi ulivyomla mke wa mwenzio.

Anyway iko hivi.
Female number one need is affection, sasa alipojiliza we ukampa affection. Na mara nyingi (kama sio zote) affection huwa inatrigger sex and that's what happened.
 
Ikitokea wafanyakazi wenzako wote wakawa na mifarakano, ukawa unaitwa kuwasuruhisha na wake zao wakawa na tabia kama hizo; utakuwa unawatafuna then unatuletea threads huku za aina hii?

Fikiria hii hali mumewe akiifahamu itakuwaje kazini kwenu?

Acha udhaifu huo utakuja kukugharimu maisha yako yote. Tafakari upya kama angekuwa mkeo!
 
Imebidi nicheke kwa sauti kubwa.... Dah.. nitarudi kutoa neno, kuhusiana na hili baada ya kumaliza kucheka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamke akikueleza matatizo yake ya kimahusiano ni kwamba amekutongoza wala usifadhaike kwa hilo
 
Salam wakuu. Hakika nimepata mgagasiko WA nafsi na roho katika hili. Dada zetu na mama zetu mmekua mkitumia miili yenu kama sehemu ya ahsante pale mnapo tendewa jambo Fulani jema au haya kusaidiwa matatizo madogomadogo. Nayazungumza haya kwa uchungu kwa hili lililo nikuta mei mosi ya leo. Kuna ndugu ninafanya nae kazi alikua na tatizo kubwa katika ndoa yake kiasi alikua hana raha kabisa na akaniomba msaa da wa kusuluhisha mgogoro wao, nilikubali na kwa kuanza ilibidi aniunganishe na bibie ambaye ndio mwenza wake nami nikazungumza nae kwa kina nisiwachoshe sana nilifanikiwa kusuluhisha mgogoro na kuwafanya warudiane.Jana asubuhi bi dada akanipigia cm na kuniomba tuonane baada ya mid a ya kazi mi muhimu nikamuuliza kwema akasema mi kwema.Kwakua jamaa hayupo wiki sasa nikamtaarifu kuwa bibie kanambia nionane nae akasema poa. Baada ya kazi nikampigia akanambia niende kwake sikuona tatizo ni mitaa kadhaa kutoka kwangu.Baada ya stori mbili tatu bibie akaanza kulia sana kiasi nilipatwa na mshangao na bumbuwazi nini NASA chanzo cha kilio kile, nikajaribu kimbembeleza mpaka ikabidi no mkumbatie na kumbembeleza zaidi.Hakika sijui ilikuwaje mpaka sasa siamini nilicho kifànya na jamaa kanitext this morning anauliza niliitiwa kitu gani? Hivi Hanna ahsante nyingine zaidi ya mwili maana kwa Maelezo yake nikua amenipa ahsante kwa kuwafanya wawe pamoja. Wasalam!
Mhhh shukuru Mungu
 
Back
Top Bottom