Mwanamke akikupiga ni starehe kwa mwanaume! anataka mambo, mimi akinipga tu lazima nisimamishe! wana ngumi gani za kukupiga mpaka ukalalamike? kwanza warembo sana wale , ile akinuna tu, ni raha kwangu, kimdomo lips chekundu bwetuuu! ayaaa!!!!
Ebu piga picha mtu km Wema Beyonce, Janet jack anune na kisura kile atakutisha kweli? mara nyingi ni wadogo zetu au watu wa kuwazaa kabisaaa kwa mbali , hatulingani kiumri! sasa fikiria utamshitaki au kuumizwa na mtoto?
eti kimke kma kile cha Trump eti unakishtaki wewe!!!!! unaenda nacho mahakamani kabisaa sijui ustawi wa jamii? si unampelekea hakimu/ me km wewe? mzigo wa Bure! namaliza mwenyewe mimi ndiyo hakimu! nikimkunjia sura tu mavi debe!