Hivi hakuna haki za Wanaume?

Hivi hakuna haki za Wanaume?

NovicVfx

Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
14
Reaction score
12
Hakuna haki za Kutetea Wanaume maana kuna wengine wanapigwa na kuteswa na wake zao hii Imekaaje kwa wataalam wa Sheria?
 
Zipo haki za kijinsia, nadhani tupo pamoja.

Haki sawa.
 
Hakuna haki za Kutetea Wanaume maana kuna wengine wanapigwa na kuteswa na wake zao hii Imekaaje kwa wataalam wa Sheria?
Mwanamke akikupiga ni starehe kwa mwanaume! anataka mambo, mimi akinipga tu lazima nisimamishe! wana ngumi gani za kukupiga mpaka ukalalamike? kwanza warembo sana wale , ile akinuna tu, ni raha kwangu, kimdomo lips chekundu bwetuuu! ayaaa!!!!

Ebu piga picha mtu km Wema Beyonce, Janet jack anune na kisura kile atakutisha kweli? mara nyingi ni wadogo zetu au watu wa kuwazaa kabisaaa kwa mbali , hatulingani kiumri! sasa fikiria utamshitaki au kuumizwa na mtoto?


eti kimke kma kile cha Trump eti unakishtaki wewe!!!!! unaenda nacho mahakamani kabisaa sijui ustawi wa jamii? si unampelekea hakimu/ me km wewe? mzigo wa Bure! namaliza mwenyewe mimi ndiyo hakimu! nikimkunjia sura tu mavi debe!
 
Back
Top Bottom