Matiko manga
Member
- Jun 18, 2024
- 9
- 15
Kwa kawaida kufanya mema ni wajibu wa serikali wala si lazima kuipongeza ndio kazi yake, lakini yale mabaya si jukumu lake ndio maana tunayasema.Hebu tuwe wakweli ndugu zangiu watanzania.ni kweli hakuna JEMA linalofanywa na SERIKALI yetu?mbona asilimia kubwa humu tunapenda kulaumu sana.sijasema viongozi wetu ni malaika hapana,lakini ni kweli hakuna wanachofanya?ni kweli wanauza nchi?kuongoza nchi sio kama kuongoza familia.kwenye familia ya mke na watoto wawili TU baba unaweza usieleweke ndo uje ueleweke na raia milioni zaidi ya 60.tuendelee kukosoa lakini pale pakupongeza pia tupongeze.niwatakieni jumatano njema.MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU UBARIKI UMOJA WETU
Mkuu Matiko manga , naunga mkono hoja, Watanzania ni watu walalamishi sana, ni wepesi wa kulaumu, na wepesi wa kusahau mema.Hebu tuwe wakweli ndugu zangiu Watanzania ni kweli hakuna JEMA linalofanywa na SERIKALI yetu?
Tuendelee kukosoa lakini pale pakupongeza pia tupongeze.niwatakieni jumatano njema.MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU UBARIKI UMOJA WETU
Mnasema kama vile ni fadhila wakati ni jukumu na wajibu wa serikali kufanya hivyo. Kuisifu na kutoisifu ni uamuzi. Kusifiwa kwa kutekeleza majukumu yako si lazima ila usipoyatekeleza kukusema ni lazima.Mkuu Matiko manga , naunga mkono hoja, Watanzania ni watu walalamishi sana, ni wepesi wa kulaumu, na wepesi wa kusahau mema.
Pamoja na mazuri yote waliotendewa huko nyuma, leo kumetokea tatizo kidogo, eti wamesahau yote ya nyuma, wanamgomea!.
Kwenye mapungufu tukosoe lakini na kwenye mazuri, tupongeze!. Tujifunze kuwa na Shukrani kwa Madogo ili Tupatiwe Makubwa!. Japo Tulitaka Kikubwa, Tumepewa Kiduchu!, Tukipokee Tushukuru, au Tususe Kudai Kikubwa?.
P
PascalKwenye mapungufu tukosoe lakini na kwenye mazuri, tupongeze
Umejijibu mwenyewe kwenye posti yako!Sijasema viongozi wetu ni malaika hapana, lakini ni kweli hakuna wanachofanya?
Kuongoza nchi sio kama kuongoza familia.
Mleta uzi,umesoma hii komenti?Haya sasa kabugie kichuri.Kwa kawaida kufanya mema ni wajibu wa serikali wala si lazima kuipongeza ndio kazi yake, lakini yale mabaya si jukumu lake ndio maana tunayasema.
So, kuipongeza serikali kwa kufanya mazuri huo ni uamuzi binafsi maana inatekeleza majukumu yake ila kuikosoa na kuisema inapokosea hiyo ni lazima maana inakuwa imetenda nje ya majukumu yake.
Ni sawa na baba kwenye familia, ukileta chakula kila siku unaweza usipongezwe maana unatimiza jukumu lako, sasa pitisha siku moja watu wanalala njaa ndipo utaelewa.
Kwani kupongezwa ni lazima.Mkuu Matiko manga , naunga mkono hoja, Watanzania ni watu walalamishi sana, ni wepesi wa kulaumu, na wepesi wa kusahau mema.
Pamoja na mazuri yote waliotendewa huko nyuma, leo kumetokea tatizo kidogo, eti wamesahau yote ya nyuma, wanamgomea!.
Kwenye mapungufu tukosoe lakini na kwenye mazuri, tupongeze!. Tujifunze kuwa na Shukrani kwa Madogo ili Tupatiwe Makubwa!. Japo Tulitaka Kikubwa, Tumepewa Kiduchu!, Tukipokee Tushukuru, au Tususe Kudai Kikubwa?.
P
Kichuri nishapiga asubuhi mapema na ugali wa muhogo.huku Tarime hatunywi chai.Mleta uzi,umesoma hii komenti?Haya sasa kabugie kichuri.
Vibaya hivooo