NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Yapo mengi sana!
Tunayapongeza na kukosoa mengine mabaya!!
Tunayapongeza na kukosoa mengine mabaya!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tuwe wakweli ndugu zangu watanzania, ni kweli hakuna jema linalofanywa na Serikali yetu? Mbona asilimia kubwa humu tunapenda kulaumu sana.
Sijasema viongozi wetu ni malaika hapana, lakini ni kweli hakuna wanachofanya? Ni kweli wanauza nchi?
Kuongoza nchi sio kama kuongoza familia. Kwenye familia ya mke na watoto wawili tu baba unaweza usieleweke ndio uje ueleweke na raia milioni zaidi ya 60.
Tuendelee kukosoa lakini pale pakupongeza pia tupongeze.niwatakieni jumatano njema.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU UBARIKI UMOJA WETU
Hz akili hz, kwa, hapa bongo, mabaya ni mengi kuliko mazuri, kwa, u maskini uliopo bongo, utakuwa na kichaa kuishukuru serikali, kama unaisifia bongo kwa kukopa na kujenga reli, unatakq wananchi kama wa Japan, Korea, ambao vijana wao wana maisha mazuri kwa sabwbu ya Sera Bora zilizowekwa, na serikali zao, wao, si, utataka wailqmbe miguu ya serikali?Hebu tuwe wakweli ndugu zangu watanzania, ni kweli hakuna jema linalofanywa na Serikali yetu? Mbona asilimia kubwa humu tunapenda kulaumu sana.