Hivi hakuna jema linalofanywa na Serikali


..kuna mambo mema yamefanywa na Mama Samia na serikali na chama chake.

..tatizo ni kwamba hayatoshi na hayahalalishi Mama Samia kuchaguliwa mwaka 2025.

..kwa kifupi, uwezo na ushawishi wa Mama Samia ni mdogo. Hawezi kutuongoza kufikia malengo na matarajio ya wengi.
 
Hz akili hz, kwa, hapa bongo, mabaya ni mengi kuliko mazuri, kwa, u maskini uliopo bongo, utakuwa na kichaa kuishukuru serikali, kama unaisifia bongo kwa kukopa na kujenga reli, unatakq wananchi kama wa Japan, Korea, ambao vijana wao wana maisha mazuri kwa sabwbu ya Sera Bora zilizowekwa, na serikali zao, wao, si, utataka wailqmbe miguu ya serikali?
Cha pili chochote wanachofanya serikali, sio, hisani,ni wajibu wao, tunawalipa mishahara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…