Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

Let's see.

Unasema jiwe lina uhai. Huwezi kuthibitisha.

Unasema Mungu yupo.Huwezi kuthibitisha.

Umekubali Jesca Magufuli ni rais wa Tanzania. Huwezi kuthibitisha.

Unaweza kuthibitisha roho ipo na si uongo mwingine tu?
We neng'eneka tu utabaki viza

Mtafute Mshana ndio anajua majibu ya roho mimi sijui
 
Hizo unazoita testicle ni kama walet ya kuwekea pesa kwa matumizi ya haraka na utayari

Lakini hazina kuu ipo nyumbani au bank ambayo ni uti wa mgongo

Hivyo usikatae
Tuthibitishie, kwa references, ya kwamba sperms, zinatoka kwenye uti wa mgongo??
 
Tunao act through Total conscious and sub_consciousness level of reality in deferent place at once..
emoji41.png
Explain
 
We neng'eneka tu utabaki viza

Mtafute Mshana ndio anajua majibu ya roho mimi sijui
Kwa hiyo unapoandika habari za roho, halafu unakiri kwamba hujui habari za roho, unakiri kwamba unaandika mambo ambayo huyajui hapa?
 
Kwako wewe bora nisijue
Hujajibu swali nililouliza.

Kwa hiyo unapoandika habari za roho, halafu unakiri kwamba hujui habari za roho, unakiri kwamba unaandika mambo ambayo huyajui hapa?
 
Hujajibu swali nililouliza.

Kwa hiyo unapoandika habari za roho, halafu unakiri kwamba hujui habari za roho, unakiri kwamba unaandika mambo ambayo huyajui hapa?
Kwani ni ligi hii..!?

Huku ni kueleweshana kama mtu hataki halazimishwi

Mimi sitafuti kombe hapa
 
Kwani ni ligi hii..!?

Huku ni kueleweshana kama mtu hataki halazimishwi

Mimi sitafuti kombe hapa
Sawa, lakini umesema uongo kwamba jiwe lina uhai, na uongo hauachiwi bila kupingwa.

Jiwe lina uhai?
 
Sawa, lakini umesema uongo kwamba jiwe lina uhai, na uongo hauachiwi bila kupingwa.

Jiwe lina uhai?
Sio jiwe tu hata na Hewa

We huoni asteroids zinaungua wakati hamjafunga mitambo yenu kule..?

Mzungu kakudanganya eti msuguano wa hewa na yabisi 'thubutu'

Hewa inajielewa na ina receptor nzuri Tu we kalagaBhaho
 
Sio jiwe tu hata na Hewa

We huoni asteroids zinaungua wakati hamjafunga mitambo yenu kule..?

Mzungu kakudanganya eti msuguano wa hewa na yabisi 'thubutu'

Hewa inajielewa na ina receptor nzuri Tu we kalagaBhaho
Jiwe linauhai, hewa ina uhai.

No wonder unaamini Mungu yupo.

Unaamini every crackpot theory out there.

Uhai ni nini?
 
Jiwe linauhai, hewa ina uhai.

No wonder unaamini Mungu yupo.

Unaamini every crackpot theory out there.

Uhai ni nini?
Mimi sichunguzi kila noti duniani ili kujua uhalali na ubandia wa noti_japo si vibaya

Wewe hayo unayaweza

Mimi kwangu noti moja halali inanitosha

Ukija na zingine bandia nitajua Tu
 
sijui umeishia darasa la ngapi wewe
q'uran yako inasema nyote ni makombora anayotumia allah kupiga shetani asiingie peponi kusumbua..niambie na kituko hiki
eti quran haikosei...yani mafundisho ya mohamed kwenye quran ni vichekesho vitupu


Unajua unachonichekesha wewe ni kitu kimoja una bwabwaja wala hitoi hoja za msingi.

Unapokosoa jambo au kuhisi haliko sawa kwa ufinyu wako wa ki maarifa ubatakiwa hapo hapo utoe ukweli unao uona wewe.

Halafu Qur'an haisemi peponi bali inasema mbinguni.

Mimi nasema ni kweli kazi ya vimondo ni kuwapiga mashetani wanao kwenda kuchukua siri na kuwaletea makuhank na wagangaa.

Sasa wewe unae pinga leta ukweli wako au hoja zako dhidi ya hayo yasemwayo na Allah kama weww unasema ukweli.

Halafu shule ya elimu ya kisekula (secular) haimfanyi mtu kuwa mahiri katika kujenga hoja wala nini,kwahiyo kutolea mfano wa darasa la ngapi kama dhihaka ni ujinga bali upumbavu uliochupa mipaka.
 
Nilisema hapo mwanzo kwamba unajitengenezea mazingira ya kusema maiti ina uhai, kwa sababu imetoka katika mwili wenye uhai.

Na kwa jibu lako la juu hapo, unaweza kusema maiti ina uhai. Kwa sababu inaoza na kutoa virutubisho vinavyotumiwa na mimea yenye uhai.

Sijauliza kipi kinatoka wapi.

Nimeuliza, jiwe lina uhai?

Ukianza habari za "ikiwa kimetoka kule" utasema "Jesca Magufuli ni rais wa Tanzania"

Kwa sababu Jesca Magufuli katoka kwa John Magufuli, na John Magufuli ni rais wa Tanzania, hivyo basi Jesca Magufuli naye ni rais wa Tanzania.

Je, Jesca Magufuli ni rais wa Tanzania?

Kaka una amini uwepo wa vitu usivyo viona kwa macho ? Wala kuvihisi ?
 
Life

Definition

noun, plural: lives

noun, plural: lives

(1) A distinctive characteristic of a living organism from dead organism or non-living thing, as specifically distinguished by the capacity to grow, metabolize, respond (to stimuli), adapt, and reproduce


Kiumbe hai kinapumua, kina mfumo wa kula na kutoa uchafu, kinajisogeza, kinakua, kina sensory receptors z8nazo reapond to stimuli, kinazaliana.

Jiwe na upepo havina sifa hizo.

Wewe nawe umo katika ujinga wa kuam8ni jiwe lina uhai?

Jiwe ni non living thing.

Jiwe lina uhai?


Hii ni maana finyu sana juu ya kiumbe. Jiwe linaongea kwa ulivyo mchachefu wa maarifa na umekariri ya kuwa kiumbe hakiongei mpaka kiwe na mdomo,na kwa fikra za kufata taratibu za kuainisha jambo kimantiki utakataa na utafikia hitimisho hivi :

"Kiumbe hakiongei kama hakina mdomo,binadamu peke yake ndio anae ongea,kama jiwe halina mdomo na jiwe sio binadamu basi jiwe haliongei na jiwe si kiumbe". Eti hapo mwenyewe unakuwa umefikia hitimisho na umeupata ukweli. Hivi ni vichekesho ambavyo huvipati kwingine isipokuwa kwenu nyie.

Wewe sitashangaa nikikwambia "Birika lina mkono" ukapinga kwamba halina mkono,na ukataka nikupe ushahidi au nithibitishe kama kweli birika lina mkono.
 
Mimi sichunguzi kila noti duniani ili kujua uhalali na ubandia wa noti_japo si vibaya

Wewe hayo unayaweza

Mimi kwangu noti moja halali inanitosha

Ukija na zingine bandia nitajua Tu
Wewe unaamini Mungu mwenye contradiction, bandia na halali utawezaje kuzitofautisha wakati unaamini contradiction?
 
Back
Top Bottom