We neng'eneka tu utabaki vizaLet's see.
Unasema jiwe lina uhai. Huwezi kuthibitisha.
Unasema Mungu yupo.Huwezi kuthibitisha.
Umekubali Jesca Magufuli ni rais wa Tanzania. Huwezi kuthibitisha.
Unaweza kuthibitisha roho ipo na si uongo mwingine tu?
Tuthibitishie, kwa references, ya kwamba sperms, zinatoka kwenye uti wa mgongo??Hizo unazoita testicle ni kama walet ya kuwekea pesa kwa matumizi ya haraka na utayari
Lakini hazina kuu ipo nyumbani au bank ambayo ni uti wa mgongo
Hivyo usikatae
Kwa hiyo unapoandika habari za roho, halafu unakiri kwamba hujui habari za roho, unakiri kwamba unaandika mambo ambayo huyajui hapa?We neng'eneka tu utabaki viza
Mtafute Mshana ndio anajua majibu ya roho mimi sijui
Kwako wewe bora nisijueKwa hiyo unapoandika habari za roho, halafu unakiri kwamba hujui habari za roho, unakiri kwamba unaandika mambo ambayo huyajui hapa?
Hujajibu swali nililouliza.Kwako wewe bora nisijue
Kwani ni ligi hii..!?Hujajibu swali nililouliza.
Kwa hiyo unapoandika habari za roho, halafu unakiri kwamba hujui habari za roho, unakiri kwamba unaandika mambo ambayo huyajui hapa?
Sawa, lakini umesema uongo kwamba jiwe lina uhai, na uongo hauachiwi bila kupingwa.Kwani ni ligi hii..!?
Huku ni kueleweshana kama mtu hataki halazimishwi
Mimi sitafuti kombe hapa
Sio jiwe tu hata na HewaSawa, lakini umesema uongo kwamba jiwe lina uhai, na uongo hauachiwi bila kupingwa.
Jiwe lina uhai?
Jiwe linauhai, hewa ina uhai.Sio jiwe tu hata na Hewa
We huoni asteroids zinaungua wakati hamjafunga mitambo yenu kule..?
Mzungu kakudanganya eti msuguano wa hewa na yabisi 'thubutu'
Hewa inajielewa na ina receptor nzuri Tu we kalagaBhaho
Mimi sichunguzi kila noti duniani ili kujua uhalali na ubandia wa noti_japo si vibayaJiwe linauhai, hewa ina uhai.
No wonder unaamini Mungu yupo.
Unaamini every crackpot theory out there.
Uhai ni nini?
Uhai ni nini?
sijui umeishia darasa la ngapi wewe
q'uran yako inasema nyote ni makombora anayotumia allah kupiga shetani asiingie peponi kusumbua..niambie na kituko hiki
eti quran haikosei...yani mafundisho ya mohamed kwenye quran ni vichekesho vitupu
We upo hai halafu unaniuliza uhai ni nini.!?
Nilisema hapo mwanzo kwamba unajitengenezea mazingira ya kusema maiti ina uhai, kwa sababu imetoka katika mwili wenye uhai.
Na kwa jibu lako la juu hapo, unaweza kusema maiti ina uhai. Kwa sababu inaoza na kutoa virutubisho vinavyotumiwa na mimea yenye uhai.
Sijauliza kipi kinatoka wapi.
Nimeuliza, jiwe lina uhai?
Ukianza habari za "ikiwa kimetoka kule" utasema "Jesca Magufuli ni rais wa Tanzania"
Kwa sababu Jesca Magufuli katoka kwa John Magufuli, na John Magufuli ni rais wa Tanzania, hivyo basi Jesca Magufuli naye ni rais wa Tanzania.
Je, Jesca Magufuli ni rais wa Tanzania?
Life
Definition
noun, plural: lives
noun, plural: lives
(1) A distinctive characteristic of a living organism from dead organism or non-living thing, as specifically distinguished by the capacity to grow, metabolize, respond (to stimuli), adapt, and reproduce
Kiumbe hai kinapumua, kina mfumo wa kula na kutoa uchafu, kinajisogeza, kinakua, kina sensory receptors z8nazo reapond to stimuli, kinazaliana.
Jiwe na upepo havina sifa hizo.
Wewe nawe umo katika ujinga wa kuam8ni jiwe lina uhai?
Jiwe ni non living thing.
Jiwe lina uhai?
Jiwe na upepo vina uhai?
Vina uzima wa kimwili, imani na kiroho?
Wewe unaamini Mungu mwenye contradiction, bandia na halali utawezaje kuzitofautisha wakati unaamini contradiction?Mimi sichunguzi kila noti duniani ili kujua uhalali na ubandia wa noti_japo si vibaya
Wewe hayo unayaweza
Mimi kwangu noti moja halali inanitosha
Ukija na zingine bandia nitajua Tu
Hujajibu swali. Kwa sababu huwezi kujibu swali.We upo hai halafu unaniuliza uhai ni nini.!?