Dini za kweli ni zile zinazojiweka bayana kwa kila mtusio wote wanaopenda wala kuafiki, wala halazimishwi mtu...hii ni kwa wale wa nyumba ya Khemet....wanaotaka kurudi nyumbani
Nakuuliza jwa nini Mungubkaumba ulimwengu ambaonunaruhusu mabaya, unan8nibu siininkama kuna mazuri pia?
Umeekewa swali?
Nakwambia Mungu hayupo. Angekuwepo kungekuwa hakuna mabaya.
Hujibu kuhusu mabaya.
Unaniuliza kama sioninkuna mazuri.
Ina maana unakubali mabaya yapo na Mungu hayupo?
Mungubwako alishindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, yanawezekana mazuri tu?
Kwa sababu gani kaamua hivyo?Aliweza ila ameamua kuumba vyote kwa uwili (pair) hata kwa vile tusivyovijua.
Ameumba uhai na umauti,ameumba usiku na mchana,ameumba jike na dume ?
Na yeye ndio mjuzi na mbora wa kuumba.
ha hahahaahebu kwanza niambie maana ya shetani
naona imani yako ya kiarabu inakaribia kukutia uchizi
Kwani uhusiano wa Yesu na wazungu ni upi? maana hata waarabu nao wanamtambua huyo Yesu kivingine.Mzungu anajiuliza nini, yesu ndio mtume na mungu wake, wachina wana Buddha, wahindi miungu yao kibao mitume na manabii???? Asiye na cha kwake ni sisi
Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao ubaya haupo, hauwezekani na haujulikani?
Alishindwa kuumba ulimwengu huo?
Una uhuru wa kuchagua kurudi mwaka 1982?Aliweza na angeamua kuumba angeumba. Ila akatuuwekea uhuru wa kuchagua.
Mfano leo hii kungekuwa na mazuri tupu uhuru wako wa kuchagua ungekuwa wapi ?
Lakini nukta ya msingi sisi hatujadili tena jambo lisilo wezekana. Kila jambo ameliwekea mipaka na ukomo wake.
Unaweza kumpa mwanao mchanga chupa ya sumu inayoua na chupa ya maziwa ili tu awe na uhuru wa kuchagua?Aliweza na angeamua kuumba angeumba. Ila akatuuwekea uhuru wa kuchagua.
Mfano leo hii kungekuwa na mazuri tupu uhuru wako wa kuchagua ungekuwa wapi ?
Lakini nukta ya msingi sisi hatujadili tena jambo lisilo wezekana. Kila jambo ameliwekea mipaka na ukomo wake.
Sasa kama walikopi tatizo liko wapi? ina maana hiyo ndiyo dini yenu ilivyo na ndiyo maana unaona kabisa wamekopy.Dini yetu ipo,kongwe kuliko zote, wao waliigiza na kukopi toka kwetu, kisha wakatuletea kwa upanga na bunduki...ni muda kuifufua dini yet u umefika, kuisuka upya, Saw a sawa na mahitaji yetu ya jana leo na hata milele
Unaweza kumpa mwanao mchanga chupa ya sumu inayoua na chupa ya maziwa ili tu awe na uhuru wa kuchagua?
Una uhuru wa kuchagua kurudi mwaka 1982?
Kwa nini Allah anajitekenya nankucheka mwenyewe?Simpi sababu hana utambuzi mzee. Uliza maswali ya kiutu uzima ambayo ndani yake kuna elimu.
Mfano akichokifanya Allah ni hichi.
Amekupa akili,amekupa muongozo kupitia mitume iliujue hiki ni kizuri na hiki ni kibaya,na akakuambia ya kuwa ukifanya hiki kibaya utapata hiki na ukifanya hiki kizuri utapata hiki,basi fanya kizuri.
Hii ni sawa na mwanafunzi amepewa mtihani kisha akapewa majibu yaani hili ni jibu la swali hili na hili sio jibu la swali hili,sasa ukichagua lisilo jibu hali ya kuwa unajuwa nani wa kumlaumu ?
Kaka Allah amekupa akili jitahidi kuitumia ipasavyo.
Hujajibu swali. Una uwezo wa kurudi mwaka 1982?Hahaha swali rahisi sana ndio maana nikasema wewe husomi hoja na huzingatii bali huelewi ninachokiandika na wewe unachokijengea hoja.
Kwa akili ya kawaida huwezi kuuliza swali la kitoto kama hilo,umetoka kwenye kuhoji uwezekano wa mabaya kutokea,sasa hapa unauliza kuhusu kuweza kurudi mwaka 1982 ? Sasa nakuuliza je kurudi mwaka 1982 ni jambo baya au zuri ?
Kurudi mwaka 1982 ni sawa kuuwa au kuzini ? Je mwaka 1982 ni tendo ? Hapa ulitakiwa ujue ya kwamba sisi tuna jadili matendo mabaya na mazuri kama ulivyokuwa umeegemea katija hoja zako. Hili ni tatizo.
Ndio maana nikasema ameweka mipaka na ukomo,mipaka ni katika yale yasiyowezekana kabisa kuwa na jwa yale ambayo hapa duniani hayawezekani ila akhera yanawezekana.
Sasa kuhoji huku na ufahamu huu huwezi kuwa nao mtu kama wewe sababu huwezi kuitumia vyema akili yako katika kung'amua mambo na kutafakari hoja.
Unaweza kumpa mwanao mchanga chupa ya sumu inayoua na chupa ya maziwa ili tu awe na uhuru wa kuchagua?
Unaweza kumpa mwanao mchanga chupa ya sumu inayoua na chupa ya maziwa ili tu awe na uhuru wa kuchagua?
Hujathibitisha Mungu yupo.Halafu kaka kwa wepesi wa hoja zako na kuufahamu vyema uwezo wako wa kufikiri nishajua nikikuambia kitu fulani lazima utahoji hivi.
Nitakuoa mfano baadae,sasa hili ni tatizo tumia akili yako vyema.