Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

sio wote wanaopenda wala kuafiki, wala halazimishwi mtu...hii ni kwa wale wa nyumba ya Khemet....wanaotaka kurudi nyumbani
Dini za kweli ni zile zinazojiweka bayana kwa kila mtu

Na ni chaguzi hulazimishwi

Ya kwenu mnh...! Kwa kweli mjipange
 
Nakuuliza jwa nini Mungubkaumba ulimwengu ambaonunaruhusu mabaya, unan8nibu siininkama kuna mazuri pia?

Umeekewa swali?

Nakwambia Mungu hayupo. Angekuwepo kungekuwa hakuna mabaya.

Hujibu kuhusu mabaya.

Unaniuliza kama sioninkuna mazuri.

Ina maana unakubali mabaya yapo na Mungu hayupo?

Mungubwako alishindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, yanawezekana mazuri tu?

Aliweza ila ameamua kuumba vyote kwa uwili (pair) hata kwa vile tusivyovijua.

Ameumba uhai na umauti,ameumba usiku na mchana,ameumba jike na dume ?

Na yeye ndio mjuzi na mbora wa kuumba.
 
Kwa sababu gani kaamua hivyo?

Anafurahi kuona watu wanateseka kwa magonjwa, njaa, vita, matetemeko ya ardhi, ujinga, moto, umasikini etc?

Kama aliweza kuumba ulimwengu ambao vyote hivi haviwezekani, kwa nini hakuumba ulimwengu huo?
 
Mzungu anajiuliza nini, yesu ndio mtume na mungu wake, wachina wana Buddha, wahindi miungu yao kibao mitume na manabii???? Asiye na cha kwake ni sisi
Kwani uhusiano wa Yesu na wazungu ni upi? maana hata waarabu nao wanamtambua huyo Yesu kivingine.

Na kabla ya Buddha hao wachina sijui wahindi walikuwa wana Mungu gani?
 
Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao ubaya haupo, hauwezekani na haujulikani?

Alishindwa kuumba ulimwengu huo?

Aliweza na angeamua kuumba angeumba. Ila akatuuwekea uhuru wa kuchagua.

Mfano leo hii kungekuwa na mazuri tupu uhuru wako wa kuchagua ungekuwa wapi ?

Lakini nukta ya msingi sisi hatujadili tena jambo lisilo wezekana. Kila jambo ameliwekea mipaka na ukomo wake.
 
Una uhuru wa kuchagua kurudi mwaka 1982?
 
Unaweza kumpa mwanao mchanga chupa ya sumu inayoua na chupa ya maziwa ili tu awe na uhuru wa kuchagua?
 
Dini yetu ipo,kongwe kuliko zote, wao waliigiza na kukopi toka kwetu, kisha wakatuletea kwa upanga na bunduki...ni muda kuifufua dini yet u umefika, kuisuka upya, Saw a sawa na mahitaji yetu ya jana leo na hata milele
Sasa kama walikopi tatizo liko wapi? ina maana hiyo ndiyo dini yenu ilivyo na ndiyo maana unaona kabisa wamekopy.
 
Unaweza kumpa mwanao mchanga chupa ya sumu inayoua na chupa ya maziwa ili tu awe na uhuru wa kuchagua?

Simpi sababu hana utambuzi mzee. Uliza maswali ya kiutu uzima ambayo ndani yake kuna elimu.

Mfano akichokifanya Allah ni hichi.

Amekupa akili,amekupa muongozo kupitia mitume iliujue hiki ni kizuri na hiki ni kibaya,na akakuambia ya kuwa ukifanya hiki kibaya utapata hiki na ukifanya hiki kizuri utapata hiki,basi fanya kizuri.

Hii ni sawa na mwanafunzi amepewa mtihani kisha akapewa majibu yaani hili ni jibu la swali hili na hili sio jibu la swali hili,sasa ukichagua lisilo jibu hali ya kuwa unajuwa nani wa kumlaumu ?

Kaka Allah amekupa akili jitahidi kuitumia ipasavyo.
 
Una uhuru wa kuchagua kurudi mwaka 1982?

Hahaha swali rahisi sana ndio maana nikasema wewe husomi hoja na huzingatii bali huelewi ninachokiandika na wewe unachokijengea hoja.

Kwa akili ya kawaida huwezi kuuliza swali la kitoto kama hilo,umetoka kwenye kuhoji uwezekano wa mabaya kutokea,sasa hapa unauliza kuhusu kuweza kurudi mwaka 1982 ? Sasa nakuuliza je kurudi mwaka 1982 ni jambo baya au zuri ?

Kurudi mwaka 1982 ni sawa kuuwa au kuzini ? Je mwaka 1982 ni tendo ? Hapa ulitakiwa ujue ya kwamba sisi tuna jadili matendo mabaya na mazuri kama ulivyokuwa umeegemea katija hoja zako. Hili ni tatizo.

Ndio maana nikasema ameweka mipaka na ukomo,mipaka ni katika yale yasiyowezekana kabisa kuwa na jwa yale ambayo hapa duniani hayawezekani ila akhera yanawezekana.

Sasa kuhoji huku na ufahamu huu huwezi kuwa nao mtu kama wewe sababu huwezi kuitumia vyema akili yako katika kung'amua mambo na kutafakari hoja.
 
Kwa nini Allah anajitekenya nankucheka mwenyewe?

Kwa nini anatupa mabaya halafu eti tuyashinde kwa akili zetu?

Lile tsunami lililoua watu maelfu nani ana akili ya kulishinda?

Ndio mpangobwa Allah huo? Kuua na kutesa watu wasio na uwezo wa kukabili mazingira yao?

Nikifananisha hilo na baba anayempa sumu mtoto mchanga nitakuwa nimekosea?
 
Hahaha swali rahisi sana ndio maana nikasema wewe husomi hoja na huzingatii bali huelewi ninachokiandika na wewe unachokijengea hoja.

Kwa akili ya kawaida huwezi kuuliza swali la kitoto kama hilo,umetoka kwenye kuhoji uwezekano wa mabaya kutokea,sasa hapa unauliza kuhusu kuweza kurudi mwaka 1982 ? Sasa nakuuliza je kurudi mwaka 1982 ni jambo baya au zuri ?

Kurudi mwaka 1982 ni sawa kuuwa au kuzini ? Je mwaka 1982 ni tendo ? Hapa ulitakiwa ujue ya kwamba sisi tuna jadili matendo mabaya na mazuri kama ulivyokuwa umeegemea katija hoja zako. Hili ni tatizo.

Ndio maana nikasema ameweka mipaka na ukomo,mipaka ni katika yale yasiyowezekana kabisa kuwa na jwa yale ambayo hapa duniani hayawezekani ila akhera yanawezekana.

Sasa kuhoji huku na ufahamu huu huwezi kuwa nao mtu kama wewe sababu huwezi kuitumia vyema akili yako katika kung'amua mambo na kutafakari hoja.
Hujajibu swali. Una uwezo wa kurudi mwaka 1982?

Suppose umefanya baya mwaka huo, unataka kurudi urekebishe.

Umesema Mungu katupa uwezo wa kuchagua zuri au baya.

Unataka kuchagua zuri ufanye badala ya baya ulilofanya.

Unaweza kurudi mwaka 1982 ubadili?

Kama huwezi, habari kwamba tumepewa free will ni uongo.
 
Unaweza kumpa mwanao mchanga chupa ya sumu inayoua na chupa ya maziwa ili tu awe na uhuru wa kuchagua?

Halafu kaka kwa wepesi wa hoja zako na kuufahamu vyema uwezo wako wa kufikiri nishajua nikikuambia kitu fulani lazima utahoji hivi.

Nitakuoa mfano baadae,sasa hili ni tatizo tumia akili yako vyema.
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Hujaeleza kwa nini Mungu karuhusu mabaya yawepo.
 
Eti Mungu mwenye upendo mkuu kaumba ulimwengu ambao watoto mamilioni wanakufa kabla ya kufikia miaka mitano kwa umasikini, njaa, ujinga na maradhi.

Na watu wanakubali ujinga huu.
 
Dini za kweli ni zile zinazojiweka bayana kwa kila mtu

Na ni chaguzi hulazimishwi

Ya kwenu mnh...! Kwa kweli mjipange
N i kweli, tupo tofauti na hizo nyingine.....mtu hakaribishwi, nyumbani kwake mwenyewe, Wala kubisha hodi
 
Back
Top Bottom