Hivi hakuna kabisa uwezekano wa kuzungumza kuhusu Mungu nje ya msamiati wa kiyahudi?

Unaamini contradiction za Mungu.

Siwezi kushangaa ukilazimisha ujinga uwe ujanja.
Hata siku moja baba hawezi vumilia ujinga wa kijana wake

Lakini Babu kwake ni tofauti yeye hufurahia yote

Tena na kusema heri mapito ya mjukuu wangu kuliko upepo Ajilishao Mwanangu
 
That is neither here, nor there.
 
siku moja watu watakumbuka
mapinduzi yalianzia jf
 
Back
Top Bottom