Hivi Hakuna Mpinzani aliyetunukiwa hata Nishani Moja la daraja la nne mbona watu wote waliotunukiwa Ni wa wanaccm

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Kwa Mtazamo wangu Nishani nyingi zilizotolewa ni kwa ajili ya vyeo na Uzee , kwamba wengi waliopewa ni kwa sababu ya kufika uzeeni bila kufa na labda kwa vile wana vyeo tu .

Kwa mfano , Malecela na Gharib Mohamed Billal wanapewa nishani kwa lipi ?

Ni vema Wapinzani hawakupewa , hii ni bora zaidi kwao na ni heshima , Nishani hizi hazina maana yoyote na kwa kweli ni vigumu kujua walichofanya waliotunukiwa zaidi ya kuishi umri mrefu
 
Kwanini Magufuli apewe nishani huku akighubikwa na kashfa nyingi za unyama na kupora pesa za watu na kuwafirisi , tunataka kumdanganya nani ?
 
Serikali ya CCM ni janga la taifa
Mzazi wa ubaguzi nchini ni hiki chama tawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…