hatuelewi alifika lini TZ ndo maana tumeshikwa na butwaa..Yani wametulia tuliiii kama vile hakuna kilichotokea, kwamba hawakusikia au wakiongea nao watawekwa kundi moja? Hata ya kinafiki tu kuuliza aliko?
Hakika dunia tambala bovu
Madam unatema yai hatari .It is a matter of basic human decency to speak out against abductions and killings. The silence from CCM members and the party as a whole has been deeply concerning and has raised serious questions about your values.
Wanaugulia moyoni na unafiki waoYani wametulia tuliiii kama vile hakuna kilichotokea, kwamba hawakusikia au wakiongea nao watawekwa kundi moja? Hata ya kinafiki tu kuuliza aliko?
Hakika dunia tambala bovu
Yani wametulia tuliiii kama vile hakuna kilichotokea, kwamba hawakusikia au wakiongea nao watawekwa kundi moja? Hata ya kinafiki tu kuuliza aliko?
Hakika dunia tambala bovu
Yani wametulia tuliiii kama vile hakuna kilichotokea, kwamba hawakusikia au wakiongea nao watawekwa kundi moja? Hata ya kinafiki tu kuuliza aliko?
Hakika dunia tambala bovu
Wapo wengi. Wa kwanza ni Samia akifuatiwa na kikwete, rostam, bashiti na machawa wengine wengi.Yani wametulia tuliiii kama vile hakuna kilichotokea, kwamba hawakusikia au wakiongea nao watawekwa kundi moja? Hata ya kinafiki tu kuuliza aliko?
Hakika dunia tambala bovu