Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
-
- #121
Sasa Ujikute una mtoto wa nje afu ukawasiliana tu na baba ake. Utakuta zubeda lako lipo nje
Shindano la mbio kuwahi kufika ndioa ushindi ila hili la kuunganisha viungo vya uzazi bila hadhari na kuongeza uzao ni kinyume chake.... Kulea ex na mtoto au watoto = mgegedo.... tena hawa hawatong'ozani kwani walishahemka hadi kutoa kiumbe ni kiasi cha kuambia sasa mazingira yanaruhusu?????????????
Hawa watu ni wabinafsi sana inatakiwa tu paste "tuishi nao kwa akili pia" ha ha ha ha
Duh yaani kuanzia juzi humu sina raha. Mlianza vitambi vyetu,sasa ufupi wetu!
Kuhudumia damu ya mwanaume mwenzangu? Nah..nah! Nitalea wangu tena nitamchukua nimlee mwenyewe, kwanza tabia gani mwanamke azae na wanaume watatu tofauti. Kwangu tayari she's unfit to raise my baby.
Kuhudumia damu ya mwanaume mwenzangu? Nah..nah! Nitalea wangu tena nitamchukua nimlee mwenyewe, kwanza tabia gani mwanamke azae na wanaume watatu tofauti. Kwangu tayari she's unfit to raise my baby.
Kila anayempitia anazaa tu? Kwangu ni udhaifu mkubwa tu, amefanya/tumefanya kosa wote, nimetafuta mwingine nikaoa, kwa nini asitulie akaolewa? Kazi ni kutotoa ovyo na kuharibu Familia zingine. Ni upumbavu..trust me!Sasa kama mlizaa na ukamuacha asizae tena? Au arudi umpe nyingine? But atleast hata umeona sio sawa
Ila ex ni changamoto sana kwenye ndoa hasa kama kuna kiumbe ni dhahiri shairi unaweza fanya kazi ya ulinzi bila kujijua... Namuunga mkono yule aliyetaka kubeba mtoto na origin yake japo outcome za baadae tumwachie mungu muumba na muweza wa vyote.Hapa kupasha kiporo ni given eeh?!
Kila anayempitia anazaa tu? Kwangu ni udhaifu mkubwa tu, amefanya/tumefanya kosa wote, nimetafuta mwingine nikaoa, kwa nini asitulie akaolewa? Kazi ni kutotoa ovyo na kuharibu Familia zingine. Ni upumbavu..trust me!
Kingine, nikiwalea hao watoto kwa kuinyima Familia yangu mahitaji muhimu(kumbuka mirija imeshakatwa na jpm), hao wanaume waliomwaga mbegu na kuotesha wako wapi?
Kila mtu abebe mzigo wake, ndio maisha ya sasa...
Karibu, bila shaka ukikutana na mtu mwenye mtoto akatangaza nia utatoka nduki teh
Eeh My kaka kwani hapo nimesimulia. Naona tu uvivu kuandika gazeti hapa. Sio gubu lile + umalaya. Yani ningekuwa mtu wa negativity, ile ndoa ingenidiscourage kuolewa milele. Imagine hata tukienda kwa watumishi kuombewa; karibu wote wanamwambia " dada sioni kama una ndoa, kwa sababu naona tu makelele kwenye nyumba yenu". Ntasimulia tu Vizuri siku moja
Hapo kweli aunt yako analo!!
Sawa sista ukipata muda we nisimulie tu hata kule chemba kama unaona soo hapa
Maandunje ni janga aisee in nature hata umfanyeje confidence haiongezi mana wanapenda kufanya vtu ili nao waonekane.
Walio wengi wanaume wanawatoto kabla ya kuoa, sitamkimbia ila Ntambananisha pahali,
Kuhudumia damu ya mwanaume mwenzangu? Nah..nah! Nitalea wangu tena nitamchukua nimlee mwenyewe, kwanza tabia gani mwanamke azae na wanaume watatu tofauti. Kwangu tayari she's unfit to raise my baby.
Hii issue ni complicated ndio maana kuepuka hizi complication watu wanaamua hawataoa/hawataolewa na mtu mwenye mtoto.