Hivi hakunaga mipaka eeeh?

Uzee tena? Usiniambie unaaprochi menopause...
Lakini umri huo ndio utaisikia dydyu kwa ubongo...

Monopese ndugu yangu inabisha hodi.
Mie sina shida na dyudyu bwana, ninashida na mtoto.
 
Heheheh sasa jidanganye ukazae na huyo mpare utegemee hata kama ataleta bilinganya kwa mwanae. Utapauka shoga angu kama una undugu na chokaa, shaurilo

Uwiiiii Eli79 nimeghairi, mie nikajua nilikuwa napigia mahesabu ya friji.
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiii Eli79 nimeghairi, mie nikajua nilikuwa napigia mahesabu ya friji.
Heee wewe si umesema shida yako mtoto tu? Kama mtoto umempata tu, sio kwa uhandsome wa brod darlin + ile height mwaaa

Huna lolote, nani asiyekuwa na shida na dyudyu...muulize Heaven Sent atakuambia linavyompa shida akilikosa
Shauri zake, muache azuge tu. Mwenzie nalifanyia balance diet. Chezea kuwa na mume wako wa halali, ni full BBC na Al jazeera
 
Last edited by a moderator:
Heee wewe si umesema shida yako mtoto tu? Kama mtoto umempata tu, sio kwa uhandsome wa brod darlin + ile height mwaaa

Shauri zake, muache azuge tu. Mwenzie nalifanyia balance diet. Chezea kuwa na mume wako wa halali, ni full BBC na Al jazeera
Hahahaaaaa....na busara zako zote, when it comes to dyudyu huna busara. Usipopewa stahiki yako...BBC unang'aka!!!
 
Hahahaaaaa....na busara zako zote, when it comes to dyudyu huna busara. Usipopewa stahiki yako...BBC unang'aka!!!

Khaa brod darlin, hivi unajua nikipata stahiki yangu ndo na akili inakaa Vizuri na busara nayo inakuja. Otherwise nadata, usije nikuta tu nalia barabarani Peke angu hadi makamasi teh
 
Hii biashara siyo rahisi kihivyo. Nina mifano ya watu kibao ambao imewatokea ila mtu unaishia kuwaonea huruma tu!

Mambo ya ngono hayana giniasi na hawara hapigiwi misele...unaangusa tu!!

cc Asprin

Huyu binti yetu Evelyn Salt sio kwamba hajui. Kaamua tu kujitoa ufahamu.

BTW umepona na furiko la Tanga??
 
Last edited by a moderator:
Huyu binti yetu Evelyn Salt sio kwamba hajui. Kaamua tu kujitoa ufahamu.

BTW umepona na furiko la Tanga??

Tanga hakuna mafuriko bwana.... ni vimbweka vya hapa na pale. Ila babu na bibi wako salama kabisa.

Halafu mweleze Mzee mwenzetu Kaizer mpunguze kujificha. Wajukuu wanateseka sana kwa kukosa ile process ya kurithishwa elimu isiyopatikana kwenye vitabu...lol!!

cc atoto
 
Last edited by a moderator:

Babu Dark City unaniita?
 
Last edited by a moderator:
Aiseee basi mie Nina gundu maana kila anonisemesha tayari ana mmoja au wawili

Wala sio gundu, watu wasio na watoto kabla ya kuoa sahivi wanahesabika, kijana mwenye 25years ana watoto watatu kila mtoto na mama ake na hapo hajaoa bado....
Kuna dem mmoja wa bro angu, walikua wanagandana hao mahaba niue binti kishaoneshwa site wanashauriana wajenge vipi siku bro akivyomwambia ana mtoto ndo ukawa mwsho wa mahaba wakaachana, yule dada aliapa maisha yake hataki kuolewa na mwanaume mwenye mtoto
 
Aisee hali mbaya! Au binti ana watoto watatu kila mtoto na baba yake.
 
Mkuu Dark City huyu uliyem CC hapo ndio kanificha, naendelea kumrithisha elimu pasi na longolongo #hapakazitu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…