EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
mi napeluzi kama kawa labda eneo ulilopo ndo linazinguaKwa muda sasa nimekuwa ninaexperience tatizo la internet,muda mwingi network iko slow na saa nyingine kunakuwa hamna kabisa network.Imekuwa Kero sana huwezi kabisa kuenjoy kusurf mtandaoni,katika dakika 10, dakika 8 internet iko down na dakika 2 ndio angalau inafanya kazi.Hali ikiwa hivi nabashiri mtaanguka vibaya sana,Kuepukana na kero hizi,suluhu ni kuachana na nyinyi,mnachukua tu hela zetu lakini hamna cha maana tunachokipata kwenu.
Halotel kwangu wako poa sana, waliwahi kunijibu ukiona network iko chini ujue watumiaji ni wengi mno eneo hilo kwa wakati huo, na ushauri badili line yako iwe4G ili
Una walaumu bure kwani network imeisharudi sawa sawa?Kwa muda sasa nimekuwa ninaexperience tatizo la internet,muda mwingi network iko slow na saa nyingine kunakuwa hamna kabisa network.Imekuwa Kero sana huwezi kabisa kuenjoy kusurf mtandaoni,katika dakika 10, dakika 8 internet iko down na dakika 2 ndio angalau inafanya kazi.Hali ikiwa hivi nabashiri mtaanguka vibaya sana,Kuepukana na kero hizi,suluhu ni kuachana na nyinyi,mnachukua tu hela zetu lakini hamna cha maana tunachokipata kwenu.
Mkuu network kubagua maeneo ni udhaifu wa mtoa huduma,kwanini mitandao mengine popote ulipo network iko vizuri, mfano hapa nilipo voda na Airtel ziko vizuri tu, na hata ttcl, kwanini Halotel tu ndio izingue,hii maana yake Halotel ni dhaifuhalotel wako fresh sanaa kwa maeneo na maeneo
ila waongeze minara ya 4G aseee
Hamna mtandao unaosumbua ni Halotel peke yakeUna walaumu bure kwani network imeisharudi sawa sawa?
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
kuna sehemu nilienda inaitwa babayu dodoma huko lain inayoshika ni halotel tu..Mkuu network kubagua maeneo ni udhaifu wa mtoa huduma,kwanini mitandao mengine popote ulipo network iko vizuri, mfano hapa nilipo voda na Airtel ziko vizuri tu, na hata ttcl, kwanini Halotel tu ndio izingue,hii maana yake Halotel ni dhaifu
Kama kutopatikana sehemu na sehemu unaita ni udhaifu basi mitandao yote ni dhaifu maana mitandao uliyoisifia kuna baadhi ya sehemu nako haipatikani mkuu mfano hao TTCL.Mkuu network kubagua maeneo ni udhaifu wa mtoa huduma,kwanini mitandao mengine popote ulipo network iko vizuri, mfano hapa nilipo voda na Airtel ziko vizuri tu, na hata ttcl, kwanini Halotel tu ndio izingue,hii maana yake Halotel ni dhaifu
Halotel hawana shida mkuu, wewe ndie unamatatizo.
Ebu jichunguze unakosea wapi, kisha urekebishe
Yaan tangu nimehama Tigo unaenda mwaka sasa sijajuta kuhamia HALOTEL na hata kipindi cha cha uchaguzi internet kusumbua HALOTEL ndo mtandao pekee ulikuwa unajitahidi.mi napeluzi kama kawa labda eneo ulilopo ndo linazingua
ukienda singida wilaya ya ikungi kijiji cha mpetu mtandao wa halotel haushiki kabsa yaani hata kupiga simu na kupokea sms mpaka upande juu ya mtiYaan tangu nimehama Tigo unaenda mwaka sasa sijajuta kuhamia HALOTEL na hata kipindi cha cha uchaguzi internet kusumbua HALOTEL ndo mtandao pekee ulikuwa unajitahidi..
Network imerudi vizuriUna walaumu bure kwani network imeisharudi sawa sawa?
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app