EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
- Thread starter
- #21
Ni janga kabisaHalotel kwa sasa ni tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni janga kabisaHalotel kwa sasa ni tatizo
Haitulii kwenye H+,yenyewe muda mwingi ni E,H,na 3GHalotel net yao haipo stable kwenye maeneo mengi sana
Kuna muda unaweza kutamani kuipasua simu
Ila kuna muda wanakimbiza hadi raha
Sehemu nilipo Airtel,na Voda zinafanya vizuri kasoro HALO ndio maana naiita dhaifu na tena hapa nipo sio interiorKama kutopatikana sehemu na sehemu unaita ni udhaifu basi mitandao yote ni dhaifu maana mitandao uliyoisifia kuna baadhi ya sehemu nako haipatikani mkuu mfano hao TTCL.
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Ninaweza kusema mtandao unaoaminika zaidi ni VODA pengine Airtel ndio wanafuatiaukienda singida wilaya ya ikungi kijiji cha mpetu mtandao wa halotel haushiki kabsa yaani hata kupiga simu na kupokea sms mpaka upande juu ya mti
Kwa style hii kuna umuhimu wa kuwa na mitandao karibu yotekuna sehemu nilienda inaitwa babayu dodoma huko lain inayoshika ni halotel tu..
We jamaa simu yaani simu yangu iwe na matatizo kwenye Halotel tu?,airtel na voda mbona fresh tuYaan tangu nimehama Tigo unaenda mwaka sasa sijajuta kuhamia HALOTEL na hata kipindi cha cha uchaguzi internet kusumbua HALOTEL ndo mtandao pekee ulikuwa unajitahidi
Naungama na nyinyi simu yake inatatizo ama sehemu uliopo NETWORK COVERAGE ya HALOTEL haijasambaa akumbuke ukiwa nje ya mji sio mitandao yote utapata huduma iwe VODA TIGO TTCL Au ZANTEL haijasambaa kila eneo sehemu za nje ya mji unaweza ukapata mwingne vizuri mwingne ukasumbua ndio ilivyo
3g yao inazngua sanaHalotel kwangu wako poa sana, waliwahi kunijibu ukiona network iko chini ujue watumiaji ni wengi mno eneo hilo kwa wakati huo, na ushauri badili line yako iwe4G ili ukimbizane na wenzako wa 4G
voda kuna mahaali haushiki si mbsli hapo mkuranga ukzama vijiji vyaa nda voda utaisikia tuuuNinaweza kusema mtandao unaoaminika zaidi ni VODA pengine Airtel ndio wanafuatia
Mkuu hata yang ina shida hiyo haitulii kabisa. Tena kuna wakati inaondoka kabisa huku data ikiwa wazi.Haitulii kwenye H+,yenyewe muda mwingi ni E,H,na 3G
Mara ya kwanza kwako ilikuwa fresh?,kwangu zamani ilikuwa fresh shinda imeanza takribani miezi 2 iliyopitaMkuu hata yang ina shida hiyo haitulii kabisa. Tena kuna wakati inaondoka kabisa huku data ikiwa wazi.
Pia kuna wakati hata nikiongea na mtu simu huwa inakata kata cjui shida ni simu. Maana hii simu ilikuwa anatumia rafki yangu raia wa ujerumani katoa laini ya kwao ndio akanipa mimi.
Wajuzi zaidi hebu tuwekeni sawa.