Hivi hapa duniani kuna jiji lenye wasichana wenye njaa kali kama Dar?

Tena wengi wanaish sinza, wanajikuta wadada wa mjini kweli kweli, sasa mbaya zaid uchumi wa mjomba Maghu unazid kuwala vibaya vibaya. Masukar baba walokuwa wamewapangia vyumba wameamua kubaki na familia zao. Sasa wanahaha, wapenda dezo ya kugegeda jamani sasa hiv wanapatikana kwa mafungu.
 
Kwa dar asikwambie mtu pochi kwanza ndo mana mm wala sijihangaishi Nina Mtoto mzuri kutoka bushii akiomba sana elfu10 ya nini kujitesa wakati njia ya ni ile ile
 
Kama lipo naomba kujulishwa ni jiji gani hilo!
Wewe sema huna hela tu, ati wenye njaa. Women is the best thing dunia imepewa, lazima tuwaheshimu, tuwadhamini, tuwatunze... Shida mnatafuta kiki, nnaazima mpaka cape, viatu, kubwa zima mpaka simu... Mkiambiwa pesa Oooooh matako yalia mbwata mbwata!!!
 
Basi ukipita MLIMANI CITY utawaona wanajizungusha humo, wanagusa vitu na kuviacha!
 
Aisee tunashukuru,lakini mbona umefunguka hivyo?
 
Sasa kama unaendaga kumeet na warembo huku mfukoni una zile buku 7 zenu mnazopewaga lazima ung'ake. Mwambieni mwenyekiti apandishe dau kidogo mtashindwa hata kuoa lumumbas.
 
Viumbe ninyi kwa kujifanya mko Everest hamjqmbo, hata mlalame vipi lazima utoe umpe huyo mwenye njaa Kali, km unavyomuita maana iliandikwa, mkiona mzigo sana Kapigeni punyeto km mtakosa wanaume wenzenu, mixuuuuu
 
Tatizo la Dar wadada wote walaini yaan wakali, kumjua malaya professional na asiye uza ninkazi sana kwa sisi wa mikoani
 
Magu atawaua vijana ,yaani mada za siku izi?!
 
Aisee! Wanazidi wa Nairobi...???
kiukweli Dar ni balaa kwa mabinti wenye njaa. Halafu vijana mnaonga hadi million unajisifia utapendwa sio kwa mabinti wa Dar. Acheni kuonga mitaji jamani ndio maana mnalalamika huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…